Tukiwa primary tulienda kupiga heist kwa wallet ya mzae tukapatana na thao mingiii kama 23 hivi. Sisi tulikua tunataka chwani tushike nayo baruti. My bro ako 10 mimi 12. Nikasema tuachane nayo alafu nikaona bro amechota thao kama saba😂hapo ndio nilijua that boy will go places