Chadema sio tu kwamba ni kikuu cha kisiasa Tanzania.
Chadema ni imani ya Watanzania.
Asanteni Sirari kwa mapokezi ya heshima kubwa.
Endelea kuchangia chama.
Mwenyekiti wa CHADEMA jimbo la Kibaha mjini ndg Shabani Ally Mchezo akielezea namna alivyofatwa na kuahidiwa kiasi cha milioni 1 kumtuhumu mh John Heche
"Hujatokana na kura za watu, hujatokana na Mungu." Mhe.@HecheJohn
TUENDELEE KUCHANGIA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Kuelekea Baraza kuu la kihistoria..
Nimesikia sauti yenu, Asanteni sana Watanzania kwa upendo mkubwa.
Ushindi wetu uko karibu sana..
Msiogope, tutashinda.
Tundu Lissu will be free 💪🏽 sooner than later 💯
Mark this post!
Yaani madhulmat wanahaha lakini wapi!
No weapon formed against him shall prosper 🙏🏽
Mungu aendelee kujidhihirisha katika maisha yake - tuseme AMEN!
#FreeTunduLissu
Sio mhani huyu
mpenda haki
mpenda ukweli
kama madaraka mmejipa
Kwanini mnaendelea kumuweka ndani kama anahatia mpelekrni mahakamani
Mnavoendelea kumshikilia mnapandikiza chuki zaidi kwa sisi wananchi na mnazidi kumpa ujasiri wa sisi wananchi tunaamini nyie mnamuogopa.
Arusha, asanteni sana. Baada ya muda mrefu bila kukutana, leo mmekuwa mashuhuda wa upendo wa demokrasia na haki katika nchi yetu. Pamoja na hofu iliyojengwa juu ya maumivu makali, mateso na mauaji, bado mmejitokeza kwa matumaini makubwa.
Mungu awabariki . Love you sana.
Mhaini asie na vigezo vya uhaini kuna mda ukifuatilia yanayo endelea nchi hii unaweza kataa kuwa haya haiwezekani lakini ndio hivo wao wanashangaa sisi wananchi tunashangaa mahakama nayo inashangaa ila kwavile tu haiko huru nayo ipo kifungoni dunia inashangaa
@freeTunuduLisu