@CloudsMediaLive Muulize nini chanzo Cha migogoro ndani ya Simba?
Nani alimuleta Manzoki kwenye uchaguzi ? Je kama alishindwa kumsajili Manzoki nini kinampa nguvu ya kujinasibu kuwa anaweza sajili wachezaji? Nani yupo nyuma yake Leo kwenye usajili ?
Advocate Nchamal from Dsm