The Official Twitter Page for Dizzim TV | Tune in on Azam decoder Channel Number 120 | IG & FB: @dizzimtv | For enquiries and submissions: [email protected]
Leo saa 11 jioni #ChillNaSky ya kwanza kuruka kwenye TV itapatikana ndani ya @dizzimtv! Mgeni ni @JNtuyabaliwe ambaye amefunguka mengi kuhusu maisha ya utotoni, muziki, Miss Tanzania, familia, ndoa, ujasiriamali na mengine mengi. Usikose‼️
Usikubali kupitwa na Nyimbo kali uzipendazo. Tune in to @dizzimtv kila siku uweze kusikiliza na kuburudika na nyimbo kali za wasaniii wakali kutoka ndani na nje ya nchi. Tukisema #WegotyouCovered jua tunamaanisha. #WegotyouCovered#New3eraBegins https://t.co/PyTXEBicmw
Usikubali kupitwa na Nyimbo kali uzipendazo. Tune in to @dizzimtv kila siku uweze kusikiliza na kuburudika na nyimbo kali za wasaniii wakali kutoka ndani na nje ya nchi. Tukisema #WegotyouCovered jua tunamaanisha. #WegotyouCovered#New3eraBegins https://t.co/cVdzOZzsJQ
Cardi B aingia kwenye Skendo Nyingine ya kuwapiga wasichana wanaosemekana kuchepuka na mumewe Offset. Hivi unajua kwa kiasi gani nchi za nje wametuzidi katika suala la Teknolojia?? Msimu wa UEFA Huoooooooo. Unazijua historia zilizovunjwa?? Umejiandaaje??… https://t.co/yDZ3zVheqL
Usikubali kupitwa na Nyimbo kali uzipendazo. Tune in to @dizzimtv kila siku uweze kusikiliza na kuburudika na nyimbo kali za wasaniii wakali kutoka ndani na nje ya nchi. Tukisema #WegotyouCovered jua tunamaanisha. #WegotyouCovered#New3eraBegins https://t.co/CP2CdsJlYJ
Katika #ChillnaSky Wiki hii @briansimba amesema anahusika na uandishi wa Beti mbili ( 2verses) ambazo mwanadada @vanessamdee amechana katika wimbo uitwao 'Pumzi ya Mwisho' aliyoshirikiana na @johmakinitz na @casspernyovest Usikose kuangalia mahojiano… https://t.co/ZoxycjFo2s
Huyu Ndiye Msanii wa Kwanza Kusainiwa Lebo ya @chegechigunda, UVM. Aweka Wazi Sababu Zilizomfanya Chege Amkubali. - @princess_tiffah na @princenillan wa @diamondplatnumz Waonyesha Utaifa wao kwa Kuimba Wimbo Huu. - Kwa Habari Hizi na Nyinginezo, Don’t… https://t.co/QxgvZaKfGW
Dr abbas amesema mwananchi yeyote akinunua vifurushi vya ving’amuzi mbalimbali kama star Media, Digitek Continental na Ting atapata televisheni za ndani 34 Buree bila kulipishwa. Hali ni shwari kati ya familia ya @diamondplatnumz Na @hamisamobbetto… https://t.co/ksxzXUndgm
Kwanini @izzo_biznesss Habadili Mwonekano wake kama Wasanii Wengine? Na Mbona Imekuwa Muda Mrefu Hatusikii Chochote Kutoka Kundi lake la #TheAmazing? - @kalapina Awachana Wanahiphop wa Bongo. - Usikose kuangalia D-Tertainment Newz exclusive to @dizzimtv… https://t.co/HpI3p1V1Pd
Kwa Mara ya Kwanza @iam_rally_jones Amefunguka Mengi Ndani ya D-Tertainment Newz Ikiwemo Mke Wake @mama_dangote Kupenda Mtonyo. - Baada ya @wizkidayo Kutoka Nigeria Msanii @falzthebahdguy nae Amekutana na Rapper Sean Combs @diddy na Amemtunuku jina Lenye… https://t.co/b2CyqIVlUP
Je @kalapina Amefuata Taratibu za BASATA na hii Ngoma Yake Mpya? - @richmavoko na WCB Wakutana Uso kwa Uso Leo Hii. Ni nini Kilichojiri? - Arsene Wenger ndani ya Liberia, Africa. Atarajia Kukutana na Rais wa Sasa, George Weah. - Don’t miss a thing! Tune… https://t.co/CPIyDN5jb3
richmavoko Aachia Ngoma yake Mpya Chini ya Billionea Kid Siku Chache tu Baada ya Meneja sallam_sk Kueleza Kuwa Rich Bado Yupo Chini ya WCB Kimkataba.
-
queenveebosset adai Kuachana na… https://t.co/GKMYL0Uwwo
Kumbe official_tunda Ahusika na Mwonekano Mpya wa Casto?!
castodickson Aeleza Mbinu Ambazo Hutumia Katika Kumbadilisha Mpenzi Wake Tunda.
Bifu La @nickiminaj na @iamsafaree Latawala Upya.… https://t.co/9ktDtQkkhN
Zamaradi Mketema alamba dili nono na kampuni ya @happixtz , ajibu ishu ya Hamisa Mobetto @chegechigunda amesema hataki mpenzi wake arudi tena kuwa dansa. Usikose stori zote hizi ndani ya D-Tertainment News saa 08:30 usiku ndani ya @dizzimtv#DTN… https://t.co/0N2y7vdJ6Z
Qboy amesema meno yake yanamfanya atoe tabasamu la pesa. Doki amesema yupo tayari kuziba pengo la Rich Mavoko WCB Usikose stori zote hizi ndani ya D-Tertainment News saa 08:30 usiku ndani ya @dizzimtv#DTN#WegotyouCovered#NeweraBegins Written by… https://t.co/cGbdvwE4kQ
Umati wafurika katika mazishi ya muigizaji na mchekeshaji Marehemu Mzee Majuto @dokiiwenceslaus afunguka baada ya kuonekana na @richmavoko jana katika ofisi za Basata Shabiki damu wa Yanga Sc @madeeali aihofia Simba Sc msimu huu Usikose stori zote hizi… https://t.co/Cpk5Vu65Cr
Watu wamekusanyika katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam kuuaga mwili wa Marehemu Alhaji Amri Athumani maarufu kwa jina 'King Majuto' @richmavoko ametembelea ofisi za Basata siku ya leo. Kitu gani kimempeleka katika ofisi hizo? @professorjaytz… https://t.co/ab8gYxHVvL