MASKANI KIMARA watu kila siku Mamtoni,
Jonas Kiwia wasalimie Washington,
Ukiweza Pita Texas Mpe HI Chief SAM na mkumbushe uzushi wa BONGO DAR ES SALAAM💣💣💣🔥
#maskanikimara@jidejaydee@masterjtz
Tukiwa kwenye mwezi wa Figo duniani,Kama Mwenyekiti wa taasisi ya @professorjayfoundation inayotekeleza programu ya AFYA AWARENESS CORPORATE itafayofanyika March 14, nimekutana na kufanya mazungumzo na @barakashelukindo Mkurugenzi wa Masoko @dstvtanzania, Elimu ya afya kwa umma🙏
Hakika chama chetu pendwa kimeshinda na tumefanikiwa kuionyesha Dunia nini maana halisi ya DEMOKRASIA, Hongereni sana viongozi wetu wapya wa chama Mh. mwenyekiti @TunduALissu na Makamu wenyekiti wa Bara @hechejohn na wa visiwani Mheshimiwa Said Mzee Said
#STRONGERTOGETHER ✌️✌️
Nikiwa kama Mwenyekiti wa bodi ya taasisi ya @professorjayfoundation, Leo tarehe 8 - 01 - 2025 nimefanya kikao kazi na watendaji wa Bodi ya Filamu @tanzania_film_board, wakiongozwa na Kaimu Mtendaji mkuu wa Bodi ya Filamu Tanzania Dr. Gervas Kasiga @chuma_kaole kuhusu SANAA🙏🙏
Asante sana Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema kwa kunifikisha mpaka leo hii nauona tena mfanano wa SIKU yangu ya Kuzaliwa , narudisha SIFA na UTUKUFU kwako eeeh Mola wangu, Nakuomba sana umilinde zaidi na zaidi na unibariki miaka mingi yenye furaha na Mafanikio tele, AMEN🙏🙏
Hongera sana mdogo wangu @tharealsimplex Mzee wa Ngano kwa kupata Masters degree ya PUBLIC ADIMINISTRATION leo, Nakuombea kwa Mwenyezi Mungu akuongoze vema kwenye Maisha na majukumu yako🙏🙏
Jimbo la MIKUMI kata za Ruaha, Ruhembe, kidodi,Tindiga, Mabwerebwere, Masanze, Zombo mpaka sasa hivi saa 4 na robo karatasi za kupigia kura bado hazijafika na vituo havijafunguliwa, kata za Kilangali, Ulaya Na Mhenda uchaguzi umesimama eti karatasi zimekwisha haya si maajabu?
WAGOMBEA WOTE WA CHADEMA WILAYA YA KILOSA MAJINA YAO YAMEENGULIWA
Tunawasisitiza wasimamizi wa uchaguzi wayarudishe mara moja majina ya wagombea wetu wote wa CHADEMA walioenguliwa makusudi wilayani KILOSA la sivyo tusije kulaumiana
JOSEPH HAULE
Mkiti wa CHADEMA wilaya ya Kilosa
Ni Dada mkuu na Kaka mkuu🔥🔥🔥🔥
Je lingekuwa kundi mngetupa Jina gani???
Lady Jaydee
CALLING feat @officialalikiba Official Video
IS OUT NOW Link https://t.co/hcPffRYm1N
LETS GO on YOUTUBE 💪💪💪
Pale Kenya @KHALIGRAPH anasema Respect the OG's na hivyo walivyofanyiwa 'GOAT' wa muziki Tanzania Komando @JideJaydee baada ya kumpandisha stejini @ProfessorJayTz kwa mara ya kwanza.
Chemistry yao (Jide x Professor Jay) imetoa hits kibao kwenye muziki kama Bongo Dar es Salaam, Nimeamini,Joto Hasira ambazo wamezipiga Live show ya BongoFlava Honors.
Kwa shangwe hilo la mashabiki kupitia picha hizi unahisi walikuwa wanaperforme ngoma yao gani stejini?
#BongoFlavaHonors #LadyJayDee #ProfessorJayTz
Sikutegemea Prof. J angeweza kufika kwa show yangu tena akiwa kajiandaa kabisa na mavazi ya Kikomando.
Siku chache nyuma tulikua tuna chat mambo mengine tu ila sikuwaza hata kumuomba afike kwakua sikua nadhani yuko stable kiasi hicho. What a surprise ❤️❤️.
CALLING feat @officialalikiba Official Video Produced by @binladen_255 of Tongwe Records
Directed by @travellah of @kwetustudios
IS OUT NOW Link https://t.co/hcPffRYm1N
LETS GO on YOUTUBE 💪💪💪
@professorjayfoundation
The HEAVYWEIGHT👑👑👑
Wingi wa Report zaidi ya Gazeti,
Akili zaidi ya Server na link za INTERNET ,
Nimevuka sana Maji ya shingo,
Nasaka Bingo, Amani kwa KILLA B , MANDOZA Na KAI SINGO @datdudekb
@bongoflavahonors