Kama Kwenu Mna Kaka Ameoa na Bado anaendelea Kuwasaidia Ndugu zake na Wazazi Wanapata Huduma zote toka kwake ,Basi Mnapaswa Kumuheshimu sana Mke wa Kaka Enu ,na Msiache Kumuombea Baraka....🤝
Sisi Riziki ya mbwa tuachane na games za WC za usiku, unasinzia kwenye bajaji siti ya mbele kweli 😁
Madereva wenyewe vichwa moto wanakimbizana na hesabu.
Ee Mungu, asante kwa hatua ulizonisaidia kufikia.
Nitie nguvu niendelee pale hamasa inapopungua.
Nipe nidhamu kuliko hisia za muda, nishinde vishawishi, nikumbuke kusudi langu, na nibaki katika njia njema. Niongoze hadi ukamilishe kazi njema uliyoanza ndani yangu.
Amina.🙏🏼
@MarekaMalili Mara ya kwanza kufika Mwanza, nilipelekwa eneo la Kanyama, kwa kweli tembea uone.
Hii ni biashara kubwa tu kwenye mnyororo wa thamani wa samaki anayeitwa Sangara.
Ukiwa na mtoto wa kiume anasoma boarding school kuna muda anakupigia simu anakupiga fix baadhi ya mambo ili utume hela. Unamsikiliza lakini unajua tu hapa dogo “ananisokota” lakini unamtumia tu kwa sababu ni mwanao na wewe ushapitia hayo mambo 😆