Kocha wa Klabu ya Manchester United ya Uingereza Ruben Amorim atuma salamu kwa niaba ya Wachezaji wa Timu hiyo kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Hii ikiwa ni Moja wapo za juhudi za Serikali ya Awamu ya sita katika kukuza Uwekezaji katika
Why are the Chinese telling people to pour Coca-Cola on Avocado?🍹🥑
Once you learn why, you'll never throw an avocado seed away again!💯👇👇
This powerful remedy can:
✅ Relieve Joint Pain
✅ Reduce inflammation naturally
✅ Soothe muscle soreness & aches💯
Tanzania's ICT Minister Nape Nnauye on the spot for claiming that election results are not determined by number of votes in the ballot box but depends on who counts and announces the results.
He says the statement "was a joke". His party, CCM reacts.
https://t.co/ofNjJafjFi
NI USEMI UPI UMEKUKAMATA?:
1. "Kuzaliwa masikini siyo kosa lako,ila kufa masikini ni ujinga wako." ~ Bill Gate
2. "Kushindwa kupanga ni kupanga kushindwa." ~ Felix Bundala
3. "Heri kufa na mawazo yanayoishi, kuliko kuishi na Mawazo yaliyokufa." ~ Che Guevara
4. "Vita inamalizwa kwa vita na ili tuachane na matumizi ya bunduki inabidi itumike bunduki." ~ Mao ze Dong
5. "Sitamani kumjua babu yangu alikuwa nani, ninachotaka kumfahamu mjukuu wake atakuwa na tabia gani." ~ Martin Luther King
6. "Usimuulize mtu yoyote anayenijua mimi maana utamjua yeye kupitia mimi." Joe Lescot
7. "Muonekano siku zote hutengeneza uwezekano." ~ Lucky Crackent
8. "Hatuwapendi wanawake kwa sababu ni wazuri, ila tunawaona wazuri kwa sababu tunawapenda." ~ Luck Crackent
9. "Watu ni wengi ila binadamu ni wachache." ~ Fidel Castro
10. "Usiishi kwa sababu unaishi, tafuta sababu ya wewe kuishi." ~ Jay Ozil Cazorla Wilshere
11. "Hakuna mkate mgumu mbele ya chai." ~ Bob Sydou
12. "Kichwa kikubwa bila Akili ni Adhabu kwa miguu." ~ Thabiti Kube..
UKICHAGUA KIWANJA KWENYE RAMANI HII NI HATARI.
Kama umetumiwa ramani hii ya upimaji kwaajili ya kuchagua kiwanja na kampuni au mtu basi ujue kabisa HICHO KIWANJA HAKIJAPIMWA na HUWEZI KUPATA HATI MILIKI vile vile unaweza kuwa unanunua katika eneo la wazi,eneo la barabara,eneo la shule NK.
Watu wengi mmekuwa mnioneshwa ramani za viwanja ambazo sio halali ambazo hazitambuliki na serikali(wizara ya ardhi).
Ukiona unachagua kiwanja katika ramani kama hii chini basi ujue unanunua kiwanja ambacho hakijapimwa.
Ramani ikiwa wazi katika gaps nilizozungusha na wino mwekundu ujue hiyo ramani haitambuliki na serikali hivyo bado hapajapimwa.
I found a guy who goes around the US asking 70+ year-olds their:
• Biggest Regrets
• Biggest Lessons
• Advice to their younger self
Oddly enough, most of their answers are the same…
Here are my 8 favorites:
Charcoal has more uses than you know!!!
Everyday Amazing uses of charcoal that you didn’t know of !!
This thread will blow your mind
Open and Read
Repost