MAISHA YANAONGOZWA NA NINI JUHUDI, MUDA AU BAHATI...?
Kuna Mihimili 3 watu wengi tunateseka kuielewa
1.JUHUDI
Ni nguvu zako Binafsi katika kutimiza malengo—kua na juhudi bila kujua timing ni sawa na kulima kipnd cha kiangazi
Nani Anajua Kupika vizuri? My friend amebuild a platform inayomuwezesha mtu yeyote kupika nyumbani kwake kisha wateja wakaweka oda ya chakula na ukawauzia chakula chako.
The platform handles, order management, delivery and payments.
No restaurant no problem! As long as you can cook better! Who is interested to try it?
Binafsi huwa naamini kuwa kuna watu siyo kwamba hawana uwezo, kipaji au hawawezi kufanya kitu;
Bali ni kwa sababu tu hawajakutana na, "The Right Mentor (s)" wa kumsaidia.
Huyu dogo miaka 2 nyuma alikaribia kukata tamaa akiwa Chuo. Alikuwa kwenye njia panda ya kufanya maamuzi ya kuendelea na shule au akafanye mishe zingine.
Changamoto haikuwa ni ishu za ada, ilikuwa tu ishu za masomo na katika ile hali ya kutokujua hasa anataka nini katika maisha.
Then, nikawa nimeunganishwa na Broo wake kwa ajili ya ushauri na ‘Mentorship’. Dogo nilimpatia fomu ya, “Self-Discovery Assessment”, ambayo ni ‘Rule of thumb’ kumpatia mtu ajaze kabla hatujazungumza chochote.
Kwa sababu, kazi ya Mentor siyo kukuambia kitu cha kufanya. HAPANA, ni kukusaidia kujua kitu cha kutoka ndani yako. Iwe kipaji, uwezo au potential yako katika eneo lolote.
Kama ambavyo, Bob Proctor husema;
“A mentor is someone who sees more talent and ability within you, than you see in yourself, and helps bring it out of you.”
Dogo baada ya assessment na sessions kadhaa, tulibaini kuwa, “His ambitions, and dreams are truly aligning” na kile alichokuwa anasomea - UFAMASIA.
Changamoto yake tu ni kwamba hakuwa serious. So, we had to walk with him along the way kama “Accountability Partners” wake.
Booom! Baada ya miaka minne, leo nimepokea meseji yake (screenshot), nikafurahi sana. Kwa sababu, Mimi mwenyewe ni matokeo ya watu, kwa ushauri, malezi na mentorship zao.
Na mpaka Sasa hivi, I do have mentors katika maeneo mbalimbali, kuhusu, maisha, uchumi, familia, kiroho, n.k.
My take ni kwamba, ‘Ukiweza kuwasha mishumaa ya Ndoto za watu wengine kupitia mshumaa wako basi fanya hivyo. Na impact itaenda mbali zaidi yako.’
Mentors ni sehemu tu ya kundi la watu unaowahitaji kwenye, “Your Personal Board of Directors (PBoD”.
Kwenye kitabu cha NITATOBOA nimeelezea makundi zaidi 5 ya watu ambao kama kweli uko serious kwenye hilo life kutoboa basi hakikisha unakuwa nao kwenye network yako.
Uwe na jioni njema!
Anyway: Kupata E-book ya NITATOBOA, tuma neno NITATOBOA kwa SMS au Whatsapp kwa namba 0764191504 ili kupewa utaratibu.
Asante.
EFM.
@DittoNyongole@EdwinMjeru Tumuambie ukwel jap mim sio Mtaalam wa copywriting ila kwny kutangz product yake afny maboresho
Mtu anaweza kufurahia hyo story lkn asione "why i need this book"
Pia ukisoma mpk mwisho utagundua hajaifung hyo ebook kuonesha ina solve nin exactly
Ni hayo tu–so far yuko Good
@BlacDaady Kaka niko kitaa toka 2019 nimemaliza chuo, hizo mishe za elfu 30,50 mtaani Zakuotea sana, Mambo yakikataa akiba yote inaisha unaanz 0
Kuna dogo hpa kitaani 2023 kamaliza chuo kwao kuna maelekzo 2024 kapata kitengo HAZINA
Mwaka Jana Kanunua DINGA mwaka Huu anasimamisha MJENGO
@Positivenga1 Safi sana Ni idea Nzuri sana , swali je amejipangaje kushindan na vibanda vya chips na chakula vilivyopo mtaani, chuoni na makazini?-wabongo weng wanapenda kununua wanchokiona, Nimelijarbu soko zaid ya x100 nina uhakika na ninachokisema
Kadri Ninavyozid kukua Nagundua
Maisha yetu Wanadamu Ni Mafupi Mno Tunahngaika Kutafuta Mafanikio, Umaarufu, Cheo na Mamlak mwisho Vinapita km Upepo
Mwili Huchoka na Kuoza, Roho Huugua
Mitazamo Yetu Kuhusu Maisha ni Hafifu,Hakuna Ukweli Wowote
UHAI ni Zawadi, KIFO ni Fumbo
Usijaribu kumfurahisha kila mtu.
Just focus na michongo yako,Watu wataelewa mbele ya safari —hata wasipoelewa, haibadilishi maana
📌Mwanaume, usipoweza kujicontrol mwenyewe, hutoweza kucontrol kitu chochote kwenye dunia hii.
Kamari, ulevi, uzinzi — ni adui zako namba moja.
📌Kujielezea kupita kiasi ni kujishusha.
Jifunze ku-control narrative
Mwanaume mwenye akili timamu lazima awe na frame control, sio kujitetea au kulaumu—Mystery is Key
📌Usikubali cheap help.
Msaada unaokuja na dharau? Wema ni akiba, sio biashara
5.Ndoa sio Fundamental ya Maisha kuna Mambo meng ya msingi kufanya kabla ya Ndoa
Mwisho Kijana Usipokee Ushaur wowote wa Ndoa kwa mtu Anayeishi kwny chumba kimoja
3.Akuonesh Legal title Deed ya Asset Anazomiliki Nyumba, Viwanja, Kampuni, Magari ya Biashara n.k
4.Akuoneshe investment scheme ya mtoto/watoto wake amewaandalia nini wakifk 18+