Mshambuliaji wa Singida Black Stars, Jonathan Sowah, amesema anajisikia vibaya kila anapoiona picha ya Rais wa Young Africans SC, Injinia Hersi Said, akieleza kuwa anajutia kitendo alichofanya wakati wa utambulisho wake Simba SC.
Sowah alijikuta akikosolewa msimu uliopita baada ya kuchana picha ya Eng. Hersi wakati wa utambulisho wake Simba, kitendo alichokifanya kuonesha kuwa ameamua kujiunga na Simba badala ya Young Africans SC, ambao alikuwa akihusishwa nao kabla ya usajili huo.
Kwa mujibu wa Sowah, anapotazama tena tukio hilo na kumuona Hersi, hujisikia vibaya kutokana na kitendo hicho, akionyesha wazi kuwa sasa anajutia alichokifanya wakati huo.
#KitengeSports
Fabrizio hajatangaza tu jezi
Ameitangaza Tanzania, kwenye jezi zetu kuna ramani na Bendera ya Tanzania. Ameitangaza @TZSportPesa mdhamini Mkuu, ameitangaza GSM boss ambaye amietoa timu hii mbali. Ameitangaza Afrika Mashariki, ameitangaza lugha yetu.
Asante sana @Caamil8 BIG BRAIN
Yanga kwasasa wanalevo ya juu sana tofauti na timu zingine ktk ligi,wanacheza mechi kma wapo mazoezin.Kingine kinachoziponza hizi timu zinaingia kumzuia Shalulile asifunge na kuacha nafasi wachezaji wengine wafunge,inasaidia nn Shashaman asifunge alafu mnakula goli nyingi?
Mechi nyingi za makolo matukio ya utata hususani wakati wa VFS hayarudiwi. Sielewi kwanini. Mfano leo tukio la penati limerudiwa mara moja tu. Mchezo uliopita ndio kwanza wanaonesha mashabiki. Sielewi Sielewi Sielewi Sielewi
Sawa ila ukimya uwe na ukomo bana,mbona siku ile ulisema hela ya no 6 Iko bank na kabla ya dirisha kufungwa itatoka bank?nilikuwa namanisha nilipouliza kama pesa ni tatizo ongea kuna jambo lingeweza fanyika
“Ukae kimya mbele za Bwana, na umngojee kwa saburi.” — Zaburi 37:7
Katika nyakati za kelele, sintofahamu na majaribu, subira si udhaifu—ni imani. Ukweli hauhitaji kelele. Kwa wakati wa Mungu, kila lililofichika litawekwa wazi.
Mnawakera mashabiki wenzenu wa Makolo mnawajaza Fei kasain Simba kesho ikifika mambo yakiwa tofauti mnaanza kumnanga Mwenyekiti Hivi hamjifunzi tu? Anapohitaji Yanga kwasasa ni ngumu ninyi kushindana zama za Kulwa na Doto zimekwisha saivi kuna first born na Second born.