@NyandaAmosi Maumivu Ya Kusalitiwa Kisa Show Mbovu Ndio Maumivu Yanayotesa Wanaume Wengi...
Yaah Una Hela,Muonekano Mzuri,Kazi Nzuri Lakini Unagundua Mpenzi Wako Anachepuka Kisa Tu Kwenye Sita Kwa Sita Ufanisi Ni ZERO
Maumivu Yake Yamezidi Yale Ya Kukanyaga Kaa La Moto
@spana_Konki Pyramids Ni Club Ndogo Kwa Misri Ni Sawa Ma Azam Kwa Tanzania...
Ukiangalia Mechi Zao Majukwa Ni Meupe Hakuna Mashabiki
Inafanya Wechezaji Mf Mayele Akose Raha Na Vaibu
Utatetema Jukwaani Kweupe?
@hancymachemba@SimbaSCTanzania Kuhusu Mabadiliko Sahahu Kaka Mimi Ni Mwanachama Wa Simba Nimeshiriki Kwenye Mikutano Ya Mabadiliko Na Mikutano Ya Chaguzi Mbalimbali..
Nikuambie Tu Sisi Wanachama Ndio Chanzo Kikubwa Cha Timu Yetu Kuwa Hapa
Mpaka Leo Kuna Hela Inatolewa Na Matawi Eti Chumba Namba 4🚮🚮