KIPANDACHO HUSHUKA:
Kifo cha Mandojo na Maono ya “Almasi” ya @dizastavina.
"Wimbo wa ‘Almasi’ wa Dizasta Vina ulionekana kama mistari tu ya mziki. Lakini baada ya kifo cha Mandojo, unaonekana kama unabii wa kutisha kuhusu maisha ya mastaa wanaofifia.
🧵🧵✍️
@therealrigoh@Leetz08 Ugumu wake nini , kama unaongea ongea Usikike hakuna cha kuficha.
Hio ni kwa sababu kuna wachezaji walikua wanaongea kauli za matusi au ubaguzi wakiwa wamejificha mamlaka zikianza kufatilia wanakua na mlolongo mrefu .
@hildo28967 Sahau hicho kitu Level ilipo timu ya Taifa ya Argentina Ureno hafiki halafu nyie ni Mashabiki wa Ronaldo sio Ureno mngekuwa mashabiki wa Ureno mngetamani yoyote afunge timu ipate mafanikio sio kwamba eti mipira yote apewe Ronaldo.