Taasisi ya ESRF na NIMR zimefanya utafiti wa kutathmini mikakati ya kuongeza upataji chanjo ya Uviko-19 nchini ambapo lengo lilikuwa kufikia watu 12,000, kwa sms, awamu ya kwanza wamefikia watu 8000 na ya pili 3000.
@NIMR_Tanzania@ESRFTZ
@PEPnetwork
#Tumekuchagua#dodomatv
Dotv Updates.Ikiwa Mwaka huu Tanzania tunafanya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao unahusisha kuchagua viongozi wa Serikali za mitaa/kijiji.
https://t.co/3UB7IeATx9
Dotv Updates.Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) imeendelea na zoezi la ukaguzi wa miundombinu ya majitaka katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dodoma ili kuiweka katika hali ya usalama.
https://t.co/5eZO61EBPY
Dotv Updates.Ujenzi wa daraja la Ng’o’ng’ona lililopo katika Kata ya Ng’o’ng’ona Jijini Dodoma linalojengwa kwa teknolojia ya Mawe linatarajiwa kufungua fursa za kiuchumi kwa wananchi wa kata hiyo hasa waishio mtaa wa Ng’ong’ona.
https://t.co/TmsptIxhjP
Dotv Updates.Naibu Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila Dkt Julieth Magandi amewashukuru watumishi wanawake wa Bohari ya Dawa (MSD kwa msaada wa kulipia sehemu ya gharama za matibabu kwa watoto wa vichwa vikubwa na mgongo wazi wanaohitaji kufanyiwa upasuaji
Dotv Updates..NAIBU Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Deogratius Ndejembi amewaelekeza Mameneja wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini TARURA Nchi nzima kufanya tathimini ya uharibifu wa barabara zilizoathiriwa na mvua za El-Nino
Dotv Updates.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa washiriki wa Mkutano wa 21 wa Taasisi za Fedha kutafakari kwa kina changamoto ya uhaba wa fedha za kigeni na hatua gani za muda mfupi na wa kati zinazopaswa
Dotv Updates.Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt. Batilda Burian amewaagiza Wakurugenzi wa Halmashauri katika Wilaya za mkoa huo kutenge fedha kwa ajili ya sekta ya ardhi katika Bajeti ya mwaka 2024/25 ili kuendeleza utekelezaji katika maeneo yale ambayo Mradi (LTIP) hautekelezwi.
Mkuu wa mkoa huo Balozi Dkt. Batilda amesema wadau wa ardhi mkoa wa Tabora watumie fursa ya wamejadili namna ya kutekeleza Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi (LTIP) katika mkoa huo wakiongozwa na kaulimbiu inayosema
Dotv Updates.Wanawake wenye umri kuanzia miaka 23 hadi 45 wametajwa kuwa katika kundi la watu walio katika hatari ya kupata ugonjwa wa saratani ya mlango wa kizazi huku ikiambatana na madhara mbalimbali.
https://t.co/pZnoBo8SkG
Dotv Updates.Imeelezwa kuwa vitambulisho vya kidigitali kwa wafanyabiashara wadogowadogo vitawezesha kuwaunganisha wafanyabiashara hao na mifumo mingine ya kimkakati na hivyo itasaidia kurahisisha upatikanaji wa huduma muhimu kwao.
https://t.co/r86I2nBn64
Dotv Updates.Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Edward Lowassa (70) amefariki dunia leo katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete, Dar es Salaam.
Kifo cha kiongozi huyo kimetangazwa leo na Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango akiwa ziarani mkoani Arusha.
Dotv Update.Mamlaka ya udhibiti wa huduma za Nishati na Maji (EWURA) imelielekeza Baraza la ushauri la watumiaji wa huduma za Nishati na Maji (EWURA CCC) kutafuta vyanzo mbalimbali vya fedha ili kuziwezesha Kamati za mikoa kupanua wigo kwa kuwafika wananchi wa pembezoni
kuhusu mwenendo wa mabadiliko ya tabianchi, athari za mazingira na tathmini ya mabadiliko hayo kwa kipindi cha miaka 10 ijayo kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira jijini Dodoma leo Januari 23, 2024.
Cc.O/Makamu wa Rais &Haki Ngowi
Dotv Update.Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akiwasilisha taarifa kuhusu maazimio yaliyofikiwa katika Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28) na ya utendaji wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA)
Dotv Update.Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu ameambatana na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Christina Mndeme leo kuendelea na ziara yake na kukagua chanzo kinachosadikika kua ni chanzo cha ugonjwa wa Kipindupindu katika Mto Tungu katika Kata ya Idukilo Wilaya ya Kishapu.