UZINDUZI WA DODOMA TV
Mgeni Rasmi wa Tukio la Uzinduzi wa Dodoma Tv ,Mkuu wa wilaya ya Dodoma mjini Mh Jabir Shekimweri akiwa ndani ya ukumbi wa Cavillam kwa ajili uzinduzi wa Dodoma tv.
Tupo Live @dodoma_tv na @dodomafmradio endelea kutazama tukio nzima
#historiadodoma
Natumia fursa hii kuwaalika kutangaza na Dodoma tv, Mmekua mkitushika mkono sana hususani Kwa mwaka 2021 tunasema Asante.
Tumekuwa tukitangaza hatuachi wafanyabiashara HatA wale WENYE biashara ndogo ndogo.
SARAH MUSIBA - "Meneja masoko Dodoma Media Group"#dodomatv
UZINDUZI WA DODOMA TV.
Kiukweli mmeliheshimisha Jiji la Dodoma, tuna wahakikishia ushirikiano Ili malengo mliyo jiwekea yaweze kufanikiwa.
Mgeni Rasmi "Mkuu wa wilaya ya dodoma Jabir Shekimweli."
Tupo live Dodoma Tv na Dodoma fm redio
@msemajimkuuwaserikali
@ikulu_mawasiliano
Ni ndoto ya Muda mrefu ambayo iliyootewa na wakurugenzi wetu Kwa Takribani miaka 11 iliyopita kwamba tuwe na tv katika mkoa Huu, utakubaliana na Mimi kuwa kuota ni jambo jingine na kuifanya ndoto iwe halisi ni jambo lingine, Hawa wamefanga yote mawili Pongezi.
"Meneja Msaidizi
"Angle ya utoaji wa taarifa unaweza kutoa utofauti na content unaweza kuleta utofauti."
Natoa rai muwe na agenda ya kila rika kutokana na walengwa wenu .
Mgeni Rasmi Mkuu wa wilaya ya Dodoma mjini Mh.Jabir Shekimweri.
#chilihamonga#Uzinduziwadodomatv#DodomaTv@Dodomafmradio
SISI kama wasanii tutailinda, tutaipenda kwasababu ni yakwanza na pia tunatarajia bidhaa zetu kuziuza hapo.
@iambreazy_ kwetu Sisi Dodoma tv sio platform Bali ni Maisha.
Muwakilishi WA wasanii Dodoma.
UZINDUZI WA @dodoma_tv
Tupo live @dodoma_tv na @dodomafmradio
"Kutokana na shughuli za uchaguzi zinazoendelea nchini kwetu itakua ngumu mwaka huu TV kuanza lakini tumekamilisha vibali hivyo basi muda wowote kuanzi mwakani january TV itaanza rasmi" - Mkurugenzi Mtendaji Dodoma Fm...
@Officialnitho ni msanii wa muziki wa kizazi kipya anaefanya vizuri zaidi kanda ya kati. Uwezo wake mkubwa awapo jukwaani umemfanya kupendwa na mabinti wengi sana. hilo lilijidhirisha katika jukwaa la DODOMA FESTIVAL.
yeye mwenyewe anasema ni sehemu ya #TENOVERTEN,
WEWE JE?