@Emeka3345 Only those with pathophysiological knowledge of diseases can prescribe. The one that knows exactly what is happening inside the patient with the said diagnosis
@prossoff Mwanamke elimu yake kama mama mwisho form four zaidi ya hapo unajitafutia shida tu kama mwanaume. Shida ya mwanamke mwenye kipato anaamka asubuh anenda kazini anarudi amechoka na mwisho wa mwezi huoni mchango sasa si bora ijulikane moja kwamba you are the one and only breadwiner
@Sirajitz1 Msiogope kununua magari vijana. Gari yoyote lazima iende gereji ndiyo maana ya liability.Gari ni kama pikipiki tu mtu atakuambia usinunue kinglion,usinunue honlg,usinunue boxer, usinunue sanlg nk lakin watu wanazo na wanatumia.Mazda, nissan,alphard nk zipo sana na wana wanause
@njiwapori_ Power-All power is based on deception.( Nguvu na mamlaka. Ukweli siku zote hauvutii. Uongo ni mtamu.Ili uwatawale watu ni lazima uwadanganye.)
Seduction-Kushawishi watu ni lazima uwadanganye
War-All WAR is fought based on DECEPTION.Uongo uongo uongo kila mahali ni uongo. UONGOzi.
@Elorm_Hood If you believe in the God of the heavens then know that he is a God of covenants. He has been so and so he will continue to be. Marriage is a blood covenant and that is why women have to shed blood.
@rayasel94 Kuna maneno ambayo yesu alitamka kabla na baada ya kufa mfano, Shetani ni Mungu wa dunia hii, hajui lini atakuja nk na kuna yale ambayo alitamka baada ya kufa na kuwa amefufuka kama hayaβ mamlaka yote juu mbinguni na chini duniani nimepewa mm. So soma katika muktadha huo.