@mangekimambi@rahimraymond3 Huyu dada anaona hii dunia ndio kila kitu kwakwe, anazalilisha watu na kuwatukana, hii dunia bwana tunapita kama walivyopita waliopita. Wewe tukama watu, dhalilisha watu, kejeli dini ila nakuambia muumba mbingu na Ardhi hana haraka na mambo yake... Ujue ipo siku takufa..