Amepita mmama hapa gambush amekuta huo mjadala amesema mwanae ni daktari hospital kubwa kabisa pale jijini, alimpigia simu usiku wa tarehe 3 akilia sana na kusema kwamba mamwela walikuwa wakienda hospital na tipa wanabeba maiti za mochwari zilizokuwa na tarehe 29 30 31 1 na 2 wanapakia, lakini pia walikuwa wanaingia wodini majeruhi wa risasi waliokuwa na hali mbaya walikuwa wanachanganywa na maiti wanaenda kufukia usiku kwa usiku..
Wanangu watu waliokufa ni wengi mno. Madaktari wanajua hili ila madaktari wema ndio wanatoa ushahidi😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@1960Remija Uchawa ukizidi sana lazima uharibu.
CDM wametangaza tone tone zaidi ya miezi 6 sasa ila hatujaona YANGA wakiunga mkono , ila CCM kutangaza na kutangaza tu shobo kama zote.
Maninaaa , ili team linakera sana