@IamLyenda We hujui hesabu kumbe hapo kuna makubaliano yanafikiwaga kwamba kupitia urais ndizo kura zinazopeleza ruzuku na viti maalumu , so huyo mgombea urais atapatiwa percentage fulan, pesa ambayo hawezi kupata kupitia maslahi ya kuwa mbunge..
Mpina sio mjinga akikuja 1B SIO HABA
@HildaNewton21 Ni ujimga wenu mshajua kuwa aliweka zuio kwa chadema wote wapokonywe passport zao tangia mwezi wa tano afu, mtu unaona eti anaenda mpaan au Airport kusafiri, hamuwez kujiongeza.?