Unatumia chatgpt kuandika report boss anachukua report anaiweka kwenye chatgpt ikuulize maswali technical unachukua maswali unayaweka kwenye ChatGPT inakupa majibu unarudisha kwa boss 🤣🤣🤣.. Boss anakuomba lipa namba jina linatoka CHADEMA HQ unachangia baraza kuu ✅
Wale wote mnaodai Heche amekula hela yenu tuonesheni prove of payment tuwalipe vihela vyenu… ila huyu mwamba yupo sana tena aweke namba tuchangie rambirambi ya dereva wake waliyemkatisha uhai bila sababu za msingi