Hii ndio MAN U YANGU MIMI imenipa USHINDI ODDS 76 NA WANANGU.😭🙏🏾
Kesho tena naachia TRENI LINGINE—bonyeza link kwenye BIO njoo whatsapp channel usipitwe.
#GGMU#MANUTD#football#tutakuwepo🫵🏾😎
🔵Zuberi Foba uchanga wake umechoma alama 2 muhimu kwa Azam FC
Nyakati za lala salama na mwenendo wa mechi pamoja na move yenyewe Hakukuwa na ulazima wa kuliacha lango kwa umbali mkubwa
Nadhani tangu msimu uliopita mechi za mwisho amekuwa na blunders zinazoigharimu timu
Si huwa mnasubiri story zifit agenda zenu!!
badala nguvu ibaki kuipinga CCM na uongozi wake nyie mnaleta agenda za udini
huwezi kuwa mzima kichwani kwa kuhisi upande wenu tu ndio watetezi wa haki