“Yeyote anayeua kwa upanga atakufa kwa upanga”
Kwisha maneno! Dikteta mwuaji mwingine Khamenei amemalizwa na siwezi kudondosha hata chozi moja maana ameua maelfu na kutesa malaki na alijivunia ukatili wake!
Yote kwa yote love or hate Trump but he has been clearing the world of some very unsavory characters and dictators so far!
God has a strange way of using people you never thought of!
Mungu haleti malaika kusaidia bali hutumia binadamu hawahawa dhaifu kuleta msaada tusiotarajia!
Iwe fundisho kwa madikteta wanaojiona miungu watu! Jezebel naye ipo siku atakutana na masaibu hataamini! Angekuwa na washauri wenye akili angejiondokea! Ila sasa hata kwa wajomba kumevurugika 😆 sijui ataenda wapi!
@LuseWorld Hivi ni nani ameweka mzani wa kupima akili za mwanamke na makalio.
Kwani mwanamke akiwa na makalio makubwa ndio kigezo cha kutokua na akili?