Kabla ya kutoka asubuhi, soma Zaburi 91, kisha sema:
"Ee Bwana, leo naweka maisha yangu mikononi mwako. Unisitiri chini ya mabawa yako, unilinde na mabaya yote, uniongoze katika kila uamuzi, na unibariki katika kazi za mikono yangu. Amina." ๐
Vitol yuko na nani?
Nani wamempa tenda ambayo Watanzania wanauziwa mafuta kwa usd 200-260 wakati Uganda anauziwa usd 83 na Msumbiji anauziwa usd 90.
Hawa Namaro waliosajiliwa Dubai mwaka 2023 ni kina nani? Wana uhusiano gani na wizi huu mkubwa unaoumiza Watanzania.
Vyombo vya habari Tanzania kwanini hamfuatilii na kuandika huu ujambazi unaongamiza Nchi kwenye wizi wa mafuta..
TPDC kwanini hawakutoa tenda shindanishi katika suala kubwa kama hili la mafuta.
Jioni ya leo nimepata fursa ya kuongea na wazee wangu wa Mkoa wa Mara..
Asante sana Wazee wangu kwa zawadi ya mbuzi na mikungu ya ndizi.
Focus yetu ni mambo mawili makubwa Free Tundu Lissu na Katiba Mpya .
Tuendelee kuchangia Baraza Kuu la wananchi, Mchango kwasasa uko zaidi ya milioni 120 mahitaji ya baraza kuu ni milioni 334.
TUENDELEE KUCHANGIA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
"Zimeshaingia kwenye akaunti ya chama shilingi milioni mia moja (100), Jana usiku niliongea na diaspora, pale pale walichanga milioni 20, Wataziweka kwenye akaunti ya chama. Nina kila sababu ya kuwashukuru Watanzania, nguvu ipo kwenye namba." Mhe. @HecheJohn, Makamu Mwenyekiti Bara
TUENDELEE KUCHANGIA KUFANIKISHA BARAZA KUU LA UMMA.
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Kwenu Gen Z,
Oyaa! Mzigo umepanda. Target imehama, sasa tunaelekea Bilioni 5.
Msiache hii iwe kazi ya watu wachache. Kizazi chenu kimeonyesha mara nyingi kuwa kikiamua, hakuna kisichowezekana.
Mmebadilisha mijadala, mmeamsha matumaini, mmefanya sauti ya mabadiliko isikike kila kona ya nchi. Sasa ni wakati wa kuipa sauti hiyo nguvu ya mchango.
Tusibaki kwenye likes, reposts na hashtags pekee. Tuweke pia alama zetu kwenye Tone Tone.
Usichangie kwa sababu umeombwa. Changia kwa sababu unaamini. Hata elfu mbili yako ni sehemu ya Bilioni 5 tunayoiandika pamoja. Hakuna mchango mdogo unapokuwa wa watu wengi wenye imani moja.
Tonesheni Tone Tone. Tufanye historia pamoja, ili kesho tukisimulia ushindi huu, kila mmoja aweze kusema, โNilikuwepo.โ
CHADEMA MPESA- 0744446969
Wenu katika Struggle,
G. J. L
Mapema leo wazee wa Mkoa wa Mara wamekutana na Makamu Mwenyekiti Mhe. John Heche na kumpatia zawadi.
Tuendelee kuchangia chama kupitia
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Ungana na Tundu Lissu kwa kuinua CHADEMA, wanataka kufanya bazara kuu na kutoa maamuzi mazito sana kuhusu TAIFA letu.
CHANGIA SASA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
ASANTENI WATANZANIA! MPAKA SASA TUMEFIKISHA TSH. MILIONI 95
Tumebakiza TSh. Milioni 5 pekee kufikisha TSh. Milioni 100.
CHANGIA SASA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo.
#TANZANIA: CHADEMA KANDA YA PWANI KUWACHUKULIA HATUA WANAOTUMIA VIFAA VYAO KUICHAFUA CHADEMA
Katibu wa CHADEMA Kanda ya Pwani, Bonjamini Ntele leo Julai 17, 2026 amesema watawachukulia hatua za kisheria wale wote wanaotumia vifaa vyao vya chama kama vile jezi za chama hicho kwa lengo la kukichafua chama hicho na kwa kuanza wametoa wito kwa Jeshi la Polisi kueleza walipozipeleka vifaa walivyovichukuwa kwa mfanyabiashara wa vifaa vyao vya chama.
Aidha, Ntele amesema wamewabaini wanaojifanya ni viongozi wa chama hicho wanaotumika kukichafua chama hicho, "wametumia watu ambao sio wanachama wa CHADEMA kufanya utapeli wao"
Zaidi: https://t.co/HLyAk20Gzf
#TANZANIA: CHADEMA KANDA YA PWANI YAWAPONGEZA VIONGOZI WAO KWA KUKATAA KUTUMIKA KUKIHUJUMU
Katibu wa Kanda ya Pwani, Benjamini Ntele hii leo Julai 17, 2026 amewapongeza viongozi wote wa CHADEMA katika Kanda hiyo kwa kukataa kutumika kukihujumu chama chao.
Zaidi: https://t.co/HLyAk20Gzf
Wazo langu hivi CHADEMA hatuwezi anzisha miradi kama vile nyumba za kupangisha maofisi kwenye manispaa na majiji kadhaa hili huko mbeleni hata kama wananchi wanatupenda endapo CCM wakaja wakafanya uhuni japo sina uhakika kama wataendelea kuwa madarakani by 2030, ila Ya Mungu mengi huwezi jua, ili ikitokea wakatunyima ruzuku Tena tutumie vyanzo vyetu na mapato yetu ambayo ni reliable ?
Na najua hata wananchi wataendelea kutuchangia ila Hiyo itakuwa extra
Wakati tunachakata wazo hili
Tunaomba tuendelee kuchangia
MPESA: CHADEMA HQ
0744446969
CHADEMA NMB 2022606600140