Yanga Sports Club #YangaSC |β½
Pharmaceutical Technician |π
Congolese Music Enthusiast |πΈ
'Skillfully combined with a number of other ingredients πΊ.'
@glam_queenn I once did 3 x 10 on a Thursday. Saturday that week I went for drinks with friends and all I could feel after the 1st gin was shaky knees very weak. I will not repeat that madness.
@MkulimaKante Namba bado ninayo. Nilikuja kumcheki mwaka mmoja baadae alifurahi kinoma akanambia amehamia Dar nikienda nimtafute. Kiukweli na mi nilianza kuzama maana ana utulivu flani hivi hata akiwa anaongea.
@MkulimaKante Yapo kaka π. Kuna mashangazi akikuangalia tu unavo behave anavutiwa utakuta tu anafunguka. Yalinikuta na mteja wangu niko shift ya usiku mbele ya meneja wangu (kabinti) pale Pharmacy nikaambiwa chukua namba yangu unitext π kwasabu nilionyesha kumjali mama yake mzazi.
@mreno255 Mi nilikuwa nagoma kuisha asee siku niko na mchizi akasema acha ushamba yule dada kaosha upara nkamwambia usipake mafuta akasema napaka ndevu tu aloo alivonipaka ile mafuta na kushika uchebe nilitamani kuoa iwe huduma ya kila siku π
@rajuQuire Katika hiyo miaka uliyonayo apo toa 20 ya kwanza ambayo ulikua hujielewi wala huna mipango wala huoni mbele mbali. Piga hesabu upya utajua kwanini ukifika umri flani babaako unamuita mzee.
@kasesco_tz Tulitoana kiwanja tu akasema twende kokote kwangu au kwako ila sio lodge. Kwake ni 1km away kwangu 11km away tumefika kwake niko daggy mbaya naingia ndani nikakuta chupa za safari lager wakati ye ni Castle Lite kiukweli mchana kesho yake nyege zilivoisha niliwaza sana.
@Cathbeth2016@sonnino123 Bora umesema ukweli. Wana kauli yao imekaa kihuni ila ina tija. Utaskia "Ushaskilizwa ka mkubwa?".
Ukiskia hivo tu afu kijana yuko sharp haupangi foleni. Wanataka wakate folen chap ili usiwaulize wako bize na nini kwenye simu muda wa kubet.
@StoneSaphia Nilifanya kazi 3 weeks Month end naambiwa tutakulipa full shift tu apo ni siku 4 ndo nilikaa pekeangu full na malipo ni 350k/mwezi. Niko off MOI ananifokea kwa case ambayo problem solver anaichomoa bila hata kushirikisha uongozi na chanzo sio mimi. Utafanyaje kama ndo wewe???