@hancymachemba@diamondplatnumz Akafie mbele huko alidanganya wazee wa Sumbawanga kuwa atawapa hela za kumalizia shule wakaipa na Jina Diamond muulizeni kiliishia wapi. Mimi kama mfipa simuungi mkono kabisa
Mh Paul kila mtu anapenda ushujaa wako Dsm tulikuwa tunakabwa kila leo na mateja sasa hv toka uingie madarakani dar imegeuka kabisa 80% https://t.co/VUWNCkp9fP