UTARATIBU WA KUMUONDOA JAJI MKUU KAZINI; Utaratibu wa kumwondoa Jaji Mkuu madarakani uwe sawa sawa na ule unaotumika katika kumwondoa Rais madarakani.Hii itakazia Uhuru wa mhimili wa Mahakama katika kufanya shughuli zake.#KatibaMpya#WenyeNchiWananchi
KUMONDOA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2; Ibara ya 204(5) Mamlaka ya kumwondoa kazini Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali yawe ya Bunge na si Rais.Hii ni kuimarisha dhana ya Uwajibikaji. #KatibaMpya#WenyeNchiWananchi
Plz RT🙏Iwafikie Wengi
Anguka Inuka kosea sahihisha Makosa yako usithubutu kukata Tamaa kukata Tamaa ni Dhambi Wengi wanafikili tofauti na vile wapo, wanajiona dhaifu wangali na nguvu,
Wanajiona wanyonge wangali bado na uwezo
Wanajiona wabaya wangali bado ni wazuri