@Willsbasso @BarakaMaviatu Issue sio Blockchain technology, fikiria Bitcoin kupata uungwaji mkono kiasi hiki na kupata thamani kiasi hiki, Blockchain technology ni zaidi ya Bitcoin, na kuna digital currencies nyingine tena zingine zilianza before Bitcoin ila zilifeli kwenye kuungwa mkono na big bulls
@ProLearner77@bajabiri Nilitaka kuweka sawa hapo kuwa serikali inagharamia Sehemu kwenye uendeshaji wa vituo, ila sera ya cost sharing ndo inatumika. So usiseme vituo vinajiendesha vyenyewe
@ProLearner77@bajabiri Kila kituo cha afya au hospitali wana account MSD ambazo serikali anaweka pesa kulipia Sehemu madeni ya dawa kwa hivyo vituo, na pia kuna dawa zinatolewa na MSD kwa mfumo wa vertical program zinalipiwa na serikali pamoja na wahisani
@comanchechiefIV@FaradayMtz01@tonymaster01 Je hii source ya ushahidi wako, unauhakika haijaegemea upande mmoja? coz kuna taarifa nyingi sana kuhusu Korea ila zinatolewa na wapinzani wake, na wanatumia hizo taarifa kama kashfa dhidi ya utawala wa Korea
@Getrude_mollel Mbona wewe umeweka elimu za kubumba, kweli elimu ya dini inasomwa na kuna bachelor za hivyo vitu, na haiwezekani mtu akasoma bachelor zote hizo kwenye dini. So kama elimu ya mufti ni hivyo ulivyoeleza basi hata kwenye dini sio mbobezi