@RobhinEdson@emrys_jabulani@ezekiel_kamwaga Mkuu mimi kama msemaji wa muda wa wajaluo uyu tumeangalia kwenye kitabu hayupo tusiusishwe naye kwa namna yoyote ukitaka reference za wajaluo kwenye siasa kuna John Gideon okello, Raila amolo jowi, Barack Obama wuod nyalego, James orengo Ajim toto, uyo kamwaga na Wenje hatuwajui