@MissChelsea1221 Kwamba timu ionyeshe kombe la kijinga kama conference? Kwamba ijionyeshe kwamba Kuna msimu ilizngua ikaangukia conference? Timu kubwa hazichezi conference league
@GeorgeJob14 Kila taifa limeisha , France walikuwa na kina zidane na makelele saiv Wana nani? Italy walikuwa na akina maldini , nesta , na toti saiv wananani?
@davieSammy9@MickyJnr__ What shame? One shot on target and you wanted to win the game how? So you're saying you can make tackles from behind and go without a yellow card?
@ayubu_madenge Jana kama marefa walikuwa na maelekezo goli Lenu lingekataliwa maana kulikuwa na foul kwenye build up, kagoma alionywa na refa mapema2 hakusikia refa kawaonea wapi? Sometimes mkubali2 kuwa mmepoteza , kwa yanga mlianza ooh watu wameuza mechi, mara Bado tunajenga timu mara kayoko
@ayubu_madenge Sema nyie jamaa cjui ni timu ya wapi , mechi na Stellenbosch Zanzibar mkapewa goli la offside, mechi ya pili na Stellenbosch jamaa wakanyimwa goli lao halali, mechi ya kwanza na berkane jamaa walinyimwa penalty 2 clear jamaa hata hawakulalamika,