@UlimwenguN74598 Taarifa inasema aligonga bodaboda! Kwa haraka haraka hapo kuchukuliwa na polisi ni kuwa fool walioshuhudia! , huyo bwana hata kaunta ya polisi hajagusa
@whizz_tzy Mtuchagulie rival mmoja wa messi sasa tujue moja! Sio kila siku mnatubadilishia based on their perfomance! France wakitolewa na Spain mtahamia kwa nani tuambieni mapema kabisa!
@cleansheet_1 Kwani nyinyi hamna timu ya taifa, mkastick na mambo ya taifa lenu... Wao hyo ni timu yao kama kuna mambo hayaendi sawa kwanini wasiseme! Waacheni watu wapambanie timu yao... Heshima hailazimishwi. Mnaona sisi mashabiki wa messi inavyokua? Tunampenda wenyewe