Anyone Can Become Angry - That is Easy. But to be Angry with the Right Person, to the right degree, at the Right Purpose, and in the Right way - That is not Easy.
~Aristotle.
😁Mwamba anakwambia akipata kama hilo habebi wanawake🫵
Anyway tutafute sana hela vijana na ukweli mchungu ni kwamba kuna watu wana hela chafu ambazo huwezi zifikia hata uzitafute kwa nguvu gani🙌
😁Mwamba anakwambia akipata kama hilo habebi wanawake🫵
Anyway tutafute sana hela vijana na ukweli mchungu ni kwamba kuna watu wana hela chafu ambazo huwezi zifikia hata uzitafute kwa nguvu gani🙌
Anaitwa M. Olise kijana ambae unaweza stafu mpira ukijichanganya kwa Pupa kuja kuchukua Mali mguuni.
Sasa hivi anapost picha za Screen 😁
Hana Muda wa Kurembua kwenye kamera.
Mr. NONCHALANT