🚨 Mpaluka Said Nyangali (@mdudenyagali), Tanzanian activist, abducted from his home by armed men claiming to be police. His whereabouts are unknown.
@AmnestyEARO@hrw@amnestyusa@AsstSecStateAF
demand immediate action: investigate, ensure his safety, and stop Tanzania’s pattern of disappearances!
#FreeMdude
‼️🚨MDUDE’S LIVE IS IN DANGER🚨‼️
Mdude survived two brutal #EnforcedDisappearances and torture
He has documented in Kiswahili and English his ordeal
He has since been violently arrested and beaten and in the dawn today @tanpol brazenly took him from his home after beating him senseless
We need @SuluhuSamia to be held accountable for such continued extreme human rights violations
#FreeMdude
#FreeMdudeNyagali
#FreeHimNow
Tulipo fikia kwa sasa Museven akiomba chochote anapewa, maana ameshafanya uovu mwingi sana wa pamoja na Bi Msumi,
Bi Msumi kwa sasa tegemeo lake ni Musen
David Djumbe-'NIINGELIKUA NA NAMNA YEYOTE YA KUFUNGUA ZILE PINGU, NISINGEENDA OYESRTABAY POLICE STAtION KUFUNGULIWA ZILE PINGU, ALIVYO SEMA NIENDE KULE MAFWELE'
Tazama LIVE: https://t.co/3PzpYGRApi
Maombi rafiki zangu wa Nguvu, rafiki usiku nimetamani kulala usingizi wa fraha lakini hali niliyo nayo imekataa, Nasikia tumbo limejaa na choo sipati kama nilivyo tarajia. Hivyo tuombeane na pia ntalazimika kurudi hospitalini tena maana bado sijaona majibu ya dawa niliyo kutumia.
‼️UJUMBE KUTOKA KWA KADA WA CCM ALITEKWA NA KUFANYIWA UKATILI‼️
Anasema watekaji wakati wanampiga na kumtesa akiwa amefungwa kitambaa cheusi usoni na pingu mikono yote, walikuwa wanamuuliza maswali kwamba-;
1. Kwanini unamspoti Makamu wa Rais Emmanuel Nchimbi wakati ukijua haelewani na Rais???
2. Kwanini unamtetea Nchimbi akitukanwa, Kwani wewe ni nani kwenye hii nchi, Nchimbi amekupa nini???
3. Kwanini unamtetea TUNDU LISSU NA WEWE UNAJIITA NI KADA WA CCM..???
4. Kwanini nini uliambie Jeshi la Polisi liache kuipendelea CCM WEWE UNA MAMLAKA GANI, anasema wakati wanamuuliza hili swali walikuwa wamechukua clip aliyoigiza kama Rais wa kusadikika akiwaagiza polisi wa nchi hiyo wasiendeelee kupendelea chama tawala then wakawa wamei play video hiyo huku wakimtesa.
5. Wakamuuliza wewe una mamlaka gani ya kumtetea Humphrey Polepole, wakaenda mbali zaidi wakamwambia wewe si unajifanya mtetetezi wa Haki sasa hapa NDIYO KUSADIKIKA PENYEWE, LEO TUTAKUFIRA WOTE HAPA.
Kwa lugha nyepesi haya ndo makosa na sababu ambazo zimepelea kutekwa kwake.
My take, Abdul mtoto wa Idd Amin Mama anagenge lake la kuteka na kupoteza watu ambalo linaongozwa Mzanzibar mwenzake ambae anaitwa Sumai Ramadhan.
Kwasasa Abdul na genge lake ndo wanaratibu na kulipa Wabunge ili kwenye Bunge haram lijalo waaanze kumshinikiza Nchimbi ili ajiuzulu lakin pia kawalipa pesa mpaka baadhi ya Viongozi wao wa Mikoa wakiwemo uvisisiemu ili baada ya mjadala kuibuliwa Wabunge, hao Viongozi ndo wapokee kijiti na kuanza kufanya press za kumshambulia Nchimbi na kutaka ajiuzulu.
Sasa kama Abdul anafanya yote hayo atashindwa kutuma vijana wake kumteka Kazungu ambae anamtetea mtu ambae yeye anashughulika nae..???
‼️Appointment of Judge Petrus Damaseb and Justice Barishaki Bonny Cheborion to Tanzania's Commission of Inquiry‼️
We note with serious concern the appointment of Namibia's Deputy Chief
Justice, His Lordship Petrus Damaseb and Ugandan Justice Barishaki Bonny Cheborion (Justice Rishak Sheon), to Tanzania's so-called presidential commission of inquiry into violence and violations of the law around the October 2025 elections. The appointment is defective on its face and is, unfortunately, cause for reasonable apprehension of lack of independence. It risks serving as a mechanism to fend off any meaningful accountability surrounding the atrocities committed by the genocidal Government of Tanzania on and after 29 October 2025, rather than to establish the truth or secure accountability.
Repeated statements by Samia Suluhu Hassan, Mwigulu Nchemba and their numerous followers suggest, the present commission by Judge Lila appears to be set up not as a vehicle for accountability but a scarecrow and to intimidate activists, opposition groups and Samia's detractors in the Chama cha Mapinduzi who are all named by the Chande Commission.
This is the latest maneuver to circumvent the Commonwealth of Nations'
90-day ultimatum for a credible inquiry and to delay accountability efforts, including proceedings brought on behalf of victims before the International Criminal Court.
We are further troubled by the Namibian and Ugandan judiciary's endorsement of Judge Damaseb's and Justice Barishaki Bonny Cheborion appointments. Tanzania's authorities used security forces to suppress voter participation and inflicted unmitigated violence against unarmed civilians to keep Samia Suluhu in power at any cost. No sensible government should allow its judiciary to whitewash crimes against humanity let alone electoral irregularities, especially after the AU and SADC Election Observation Mission found that the elections failed to comply with their guidelines.
The foreign judges are being used as accessories to Samia Suluhu Hassan's terrorist cell under the guise of the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) party.
The judges will be forced to account for their direct engagement and association with the terrorist cell operating under the command of Presidential Advisor Haji Omar Kheir et al
Tanzania legal framework provides no basis for meaningful transitional justice in accordance with African and international standards for the same.
“They tried to bury us, they didn't know we were seeds”
Walijaribu kutuzika hawakujua sisi ni mbegu
Mafedhuli wamejaribu sana kutumaliza kwa njia zote, kutufungia biashara, taasisi, kutuua, kutufunga! Yeyote aliyepaza sauti kuhusu haki na kupinga uovu wao walipanga kummaliza! Hawakujua kila uovu waliotutendea na “kutuzika”’walikuwa wanapanda mbegu ambayo sasa imeanza kummea! Leo watanzania wanaopinga dhulma na kutetea haki waziwazi tuko wengi na kwa ujumla na wale wanaopinga kimyakimya tuko mamilioni - tukijipanga tunamaliza kila kitu!
Tumeshamea sasa tukuze mizizi na matawi
Tumeshashinda ila mafedhuli wamekaza fuvu 🔥🙏🏽
#TutaelewanaTu
Kwa kweli nasikitika sana nikikumbuka matukio ya Oktoba 2025. Machozi yananitoka mno 😭😭😭😭
1. Internet ilizimwa nchi nzima
2. Mawasiliano ya simu kawaida yalikuwa interrupted yaani dakika tano yameshakatika.
3. Polisi, mercenaries na Baadhi ya Wanajeshi walishika Bunduki na kuua watu Hovyo hovyo.
4. Nakumbuka Mbeya walipita nyumba kwa nyumba wakikuta vijana wa kiume kuanzia wanne mpo nyumba moja wanawachukua wanaenda Kuwapiga Risasi
5. Pale Mbeya Usiku wa saa walichukua Lorries zenye short containers, mercenaries wakikaa nyuma kwenye nafasi iliyobaki baada ya kontena kwenye flatbed.
Ikawa wanapita BaraBara kuu ya Mbeya Tunduma, wakikuta vijana wamekaa kijiweni, Wanawamiminia risasi zisizo na Mfano.
Nimeshuhudia Matukio magumu siwezi kueleza.
6. Tunduma pale watu walifuatwa nyumbani kwao wakauwawa wakawapeleka maiti kando kando ya Bara bara ya msitu. Imagine maiti unazipanga barabarani kama mafungu ya nyanya. Walipoona ni Mbaya Hawa Wauwaji wakachukua hizi maiti wakazipeleka Msituni nadhani ni kama njia ya Ileje wakawatupa huko.
7. Watu walishinda njaa ndani walikatazwa hata kununua vyakula, vijana wengi wa kiume walikamatwa walipoenda kununua vyakula vya familia zao mpaka leo hawajulikani walipo.
Lakini leo Samia bado ni Rais Wa Nchi?😭😭😭😭
Kwani Ee MUNGU sisi kudai haki zetu kwa amani ni kosa. Mpaka Wapendwa wetu wasio na Hatia wakauwawa namna ile na Bado Ee Mwenyezi MUNGU upo kimya ukikubali vizazi vyetu viendelee kuteseka.
Tunafahamu wengi wetu ni wadhambi lakini katika hili la Mauaji Yaliyokithiri Ee MUNGU usinyamaze. Umetufumbulia kinywa cha mtu asiye haki ni mtu wa hila, amesema kwa Ulimi wa Uongo.
MUNGU sikia basi kilio chetu watoto wako wa Tanzania. Sikia Basi Damu za ndugu zetu na Jamaa zetu zilizolala ardhini bila hatia.
Ondoa utawala huu dhalimu mbele ya Macho yetu Ee MUNGU.
Rafiki yangu zangu wa Nguvu baada ya kucheki Afya kubula ya kuanza kutumia dawa ya tatizo langu kuu linalo nisumbua, Pia kupitia sapoti yenu nimefanikiwa kununua pempas caton 1 bado mbili, kwajili ya kunisitili kipindi hiki napambania Afya nikae sawa. M-pesa 0754 500572 Joseph
‼️🚨CCM CADRE ABDUCTED AND ASSAULTED FOR DEFENDING SAMIA’S VP‼️
If there was any doubt who is the architect of violence it is Samia Suluhu herself
This man us Kazungu Bakari - a CCM member who publicly showed support for Emmanuel Nchimbi the Vice President to Samia Suluhu after Nchimbi made remarks that called for the new constitution and said activists are not terrorists! Now Samia is seeking to oust him but a number of CCM cadres have come to his defence including Kazungu. After Kazungu’s public post, he was abducted and viciously assaulted and tortured - for his remarks
He is the recent victim of this violent and murderous cabal
@WorldBankAfrica@IMFAfrica@SenateForeign@SFRCdems@OHCHR_ESARO@hrw@HRF@UN_HRC
Kama ni vurugu na ukatili basi ni Samia Suluhu na genge lake ndani ndo vinara wenyewe - hebu tusipotezeane muda!
Na huko
CCM eleweni hakuna aliye salama - tukisema #SamiaMustGo eleweni hii ni kwa ajili ya usalama wa kila mtanganyika!
#TutaelewanaTu
Tunachokijua ni kwamba wewe ndo uliyeua ndugu zetu October 29.
Na kwamba umepoteza uhalali wa kuunda Tume yoyote ya kuchunguza mauaji yaliyotekelezwa mikononi mwako.
Na kwamba hata ungeteua watu kutoka juu Mbinguni waje kuchunguza tungekupinga kwa nguvu zetu zote.
Wewe majibu yako tunayo tayari, kwamba nguvu iliyotumika kuua kwa RISASI na kujeruhi ilifanana kabisa na nguvu waliyoitumia waandamanaji. Kwamba jeshi la Polisi lilifanya kazi nzuri na linahitaji pongezi,na kwamba wazazi hawakutimiza wajibu wa kuwazuia watoto wao wasiende kuandamana hivyo wasikulaumu kwa lolote, haya ya kwako tunayajua tayari, na haya ndo majibu ya kila utakayempendekeza na kumteua hata ashuke Malaika kutoka mbinguni.
Tume tunayoitaka sisi ni Tume shirikishi, Tume ambayo UN, AU, SADC na Commonweath watatuma wawakilishi ambao watanzania tutawaridhia, Tume ambayo haitahitaji kibali chako kuandika ama kuchunguza chochote, Tume itakayoanza kukuchunguza wewe na Jeshi lako la Polisi kabla haijawachinguza wananchi.
Hiyo ndo Tume tunayoitaka sisi sio hizi YADAYADA ZAKO...
UNATUCHOSHA, SISI SIO VIKATUNI VYAKO KUTUCHEZESHA VILE UNATAKA.
‼️CHAMA CHA AR & IPC NCHINI NAMIBIA, CHAPINGA UTEUZI WA JAJI DAMASEB KUWA MJUMBE WA TUME ILIYOUNDWA NA IDD AMIN MAMA.‼️
Vyama viwili vya upinzani nchini Namibia, Affirmative Repositioning (AR) na Independent Patriots for Change (IPC), vimepinga uteuzi wa Naibu Jaji Mkuu wa nchi hiyo, Petrus Tileinge Damaseb, kuwa mmoja wa makamishna wa Tume ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Chama cha AR, kinachoongozwa na Job Amupanda, Kimedai uteuzi huo unatumia Mahakama ya Namibia Kusafisha taswira ya Tanzania kufuatia mauaji ya Watanzania kwenye Uchaguzi wa Oktoba 29 na kwamba Utachafua heshima ya Mahakama ya Namibia Kimataifa.
Ushiriki wa Jaji Damaseb kwenye Tume hiyo unaweza kuharibu taswira ya uhuru wa mahakama ya Namibia na kuifanya ionekane inahusika na masuala ya kisiasa nje ya mipaka yake. Wamemwomba jaji huyo akatae uteuzi huo na wameitaka Tume ya Huduma za Mahakama ieleze msingi wa kisheria na kimaadili wa kuruhusu ushiriki wake, huku wakitishia kuchukua hatua za kisheria.
Kwa upande wake, IPC imesema ushiriki huo haupaswi kuchukuliwa kama mbadala wa mazungumzo ya kidiplomasia kuhusu haki za binadamu nchini Tanzania, ikiwemo kuzuiliwa kwa kiongozi wa upinzani Tundu Lissu, na wameitaka serikali ya Namibia ieleze msimamo wake juu ya jambo hili.
‼️MAFEDHULI WAMEPANIC‼️
Mdau huyu amenikumbusha ule mpango wa kulisha sumu upo palepale na wamepanga kuutekeleza muda wowote kuanzia sasa ila sasa focus ni Lissu na Nchimbi huku Heche wanamwinda nje na hatakiwi kabisa kukaa mwenyewe
Muda wote @HecheJohn hakikisha umezungukwa na watu na wananchi MLINDENI!
Haya si matani au maneno tu - na mkithubutu kumsogelea Lissu gerezani hata usiku wa manane tutajua - komeni!
Nchimbi najua atawaweza mko naye kwenye mfumo na ana taarifa zenu!
Acheni kupanic nyie wauaji! Muda wenu umefika!
#FreeTunduLissu #TutaelewanaTu
Mtuhumiwa hawezi kujichunguza mwenyewe.
Tangu mwanzo tulisema tume ya Jaji Chande haiwezi kuleta ukweli, iliundwa kuficha ukweli na kusafisha watuhumiwa.
Ndio maana ile tume ilikuja na hoja za ajabu kwamba:
1. Watu wanatekwa kwasababu za kimapenzi
2. Kwasababu za ushirikina
3.kwasababu za kibishara.
Kuna familia zinasema na zina ushahidi wa ndugu zai kutekwa na kupotelea vituo vya polisi, lakini Chande hakusema hilo popote.
Kama ilivyokua tume ya Chande.
Hiki kinacholazimishwa kitaharibu na kuwagawa Watanzania zaidi.
Jaji wa Museveni ambapo wapinzani wanauwawa, wengine wako jela na wengine wamekimbia Nchi.. labda atawapa uzoefu zaidi wa namna ya kuumiza watu lakini sio kutafuta ukweli.