@Salema13495082@MariaSTsehai Kuna polisi nilimuona anapiga makofii😂alafu anasema kumbe kuishi na watu Vizuri Raha sana kumbe alikuwa hajui n RAHA Nimemshika sura nitamtafuta tukanywe hata Bia 3 kwa Afya💪
@halimamdee @Chademakaskazni @TunduALissu@ccm_tanzania Ila ivi vitendo vinatia Hasira mno @ccm_tanzania Chomeni kaskazini yote Basi @Chademakaskazni Tupeni namba ya mchango Wasituzingue Kabisa iv ni Vikundi tu In mataga Type🙄Hawajui ndo wanatupa Hamasa ya Kuipenda Chadema✌️
@MayorUbungo @MagufuliJP Na hapo n twitter tu hatuja tumia TBC wala sijui media gani za Kipumbavu zinazofuta taarifa za Upinzani Pigaaaa kelele kwa Upinzani akeee💫🙌🤗 Siku nikiipenda Ccm naomba ninyongwee LIVE pale taifa. @MayorUbungo
@HildaNewton21@TunduALissu Hatuna muda na Media za Tz tupo busy na Twitter Yetu. Wakiambiwa media hazipo huru wanasema tunawafokea Leo ukweli umeonekana sasa.
Mwambieni Msajili wa Vyama vya Siasa akasome Sheria ya Nembo za Taifa ya 1971 ili ajiridhishe kama Wimbo wa Taifa ni mojawapo ya Nembo za Taifa zinazolindwa kisheria kabla hajatoa vitisho vya bure kama hivi. Ataje Sheria iliyovunjwa, kama ipo, kabla hajatoa kauli za aina hii.
@RealHauleGluck @tanpol@ccm_tanzania Katiba mpya ya Mataga ni kwamba uchochezi unaofanywa na musiba ni halali ila Halima mdee akisema kumfunga JPM break ndo uchochezi na mahakaman anapelekwa ila Musiba kuvunja viuno,miguu,mikono na Kuua iyo Ni Haki yake na @tanpol mpo Kimya Kabisa.Dunia tunapita @MariaSTsehai
@Salema13495082@MariaSTsehai Kuna polisi nilimuona anapiga makofii😂alafu anasema kumbe kuishi na watu Vizuri Raha sana kumbe alikuwa hajui n RAHA Nimemshika sura nitamtafuta tukanywe hata Bia 3 kwa Afya💪
@fatma_karume Hakuna chombo chochote cha habari kimetangaza ONLY social Media Ndo imetoa taarifa na watu tumejaa kumpokea Rais wetu pendwa✌️🔥 TV za Tz vipi leo mbona kimya au mnasubiri Order kutoka Juu🙄 shame on all Tv ila ingekuwa magu saiv wapo Live But mjue Lissu is Airport Now👊🙏
@halimamdee Umemsikia shangazi HUSNA?? Nimemuelewa mno yaani mpaka waliotoa bendera za CDM Wakamatwe wakae meza moja ndo atatoa maelezo mwambie tupo pamoja nae Leo hata milele #FreeHUSNA
@JiniKinyonga@MariaSTsehai @mkwaduJJM Wamemkamata na yule Bi Husna @tanpol hawapo serious wanatumika vibaya mno ila @MagufuliJP rais wa wanyonge upo busy na upinzan Hauna sera kabisa au kugawa ela huko road ndo unaona UmeWIN life and ur time is COUNT. #FREEHUSNA
@FMbakile@MariaSTsehai@ChademaTz@MagufuliJP Ila @MagufuliJP na @tanpol mnachofanya hapa nchini naona sudan saiv ina aman kuzidi sisi hata Husna mnamdetained kweli ivi serikali iliyo Busy ina muda gani wakuangaika na wakina mama na bendera za upinzan hampo SERIOUS Kabisa eti Rais wa wanyonge😂🙌SHAME.