Jana Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) ilipokea ugeni/ujumbe wa wataalamu wa afya na washauri wa Rais wa Burkina Faso Kapteni Ibrahim Traore jana Jijini Dar es Salaam ambao wamekuja Tanzania kwa ajili ya kujifunza.
Taarifa Mkurugenzi wa JKCI inasema baada ya kuzungumza na ujumbe huo wameingia makubaliano ya awali ya Nchi ya Burkina Faso kuleta wataalamu wao kujifunza JKCI, kuleta wagonjwa ambao walikuwa wakiwapeleka nchi za Ufaransa na Uturuki kwa sababu maendeleo yaliyopo JKCI ni makubwa hivyo hawaoni sababu ya kuendelea kuwapeleka nje ya Bara la Afrika. (https://t.co/zoYzDiSF7z)
Zaidi taarifa inaende mbele na kusema, Tanzania kwa sasa kupitia JKCI imekuwa kimbilio na kioo kwa mataifa ya Afrika when it comes to investment, ubobevu etc kwa wastani kila mwezi wamekua wakipokea wageni zaidi ya 100 from across the continent wanaokuja kwa lengo la kujifunza.
The President of the United Republic of Tanzania, Samia Suluhu Hassan, told her fellow regional leaders that history will judge them harshly if they stand by while the situation in the DRC worsens.
President Samia, who serves as the Chairperson of the SADC Organ on Politics, Defence, and Security Cooperation, was delivering welcoming remarks to fellow heads of state attending the EAC and SADC Joint Summit held at Dar es Salaam’s State House in Tanzania.
The discussion of this issue requires some humility. IMHO, the main issues are: the citizenship question - and the rights thereof - for Kinyarwanda-speaking Congolese, territorial integrity of the DRC, security guarantee for Rwanda, governance of minerals exploitation, and the limitation of international community to resolve conflict and keep peace. At the end of it all, the tragedy is the suffering of innocent civilians.
There are three types of Kinyarwanda-speaking people in DRC: the nationals, who were already in the current DRC territory when it was demarcated as Congo in 19th century; migrants, who, either voluntarily or through compulsion, crossed the border during colonial time; and refugees, who moved during post-independence era. Vis-à-vis Rwanda, the nationals and migrants became simply a cultural diapora and refugees formed a political diaspora, each with attendant initiatives.
It is now settled, as elucidated eloquently by Mwalimu Nyerere, that at least the nationals are Congolese whose civic rights can’t be tentative or uncertain. These rights, and the space for their pursuit, reside in the political domain within the Congolese polity. There’s also a case to be made for migrants, especially labourers who were transplanted into the DRC through cynical Belgian machinations (e.g manufactured famine as push factor to achieve labourers requirements).
In 1960, just before independence, the Belgians organised a roundtable in Brussels which was attended by Congolese political leaders. (I love the beautiful tune about the roundtable, “Table Ronde”, by Grand Kalle who performed at the roundtable where the young Dr. Nico’s genius at the solo guitar shone).
Two things about the roundtable are important as we try to make sense of what’s currently going on: first, the Kinyarwanda-speakers were present at the roundtable as Congolese. Secondly, the issue of citizenship was tabled but not resolved. Therefore, Congo received independence without resolution of this critical matter.
Since then, there has been several attempts to resolve it - with varying motivations, outcomes and implications.
In the end, the question remains: what does belonging to a polity, and securing protections through it, means - and how far are people willing to go to achieve that. And what does civic participation - through civic, not ethnic, citizenship - means.
Also, in the end, it’s all about sovereignty and territorial integrity, which must partly include state capacity to govern and administer it - and manage the resources therein for peoples’ benefit.
It’s about African solidarity when we encounter threats to peace and security within our countries.
It’s about holding each other to account - impartiality and impactfully - when we violate peace.
It’s about the effectiveness of our mechanisms for conflict resolution and peace-building - and the political will to make peace.
The joint EAC-SADC Summit is a great opportunity. H.E @SuluhuSamia consistently insists on getting to the “root cause”. There’s hope that the Summit will not just bandage the boil. The Congolese civilians have suffered for far too long.
Scanning past negotiations/agreements, the contours of the permanent solution exist:-
1. Durable ceasefire with muscular enforcement and verification capabilities to protect civilian lives and livelihoods.
2. Complete, permanent and verifiable disarmament and demobilisation of ALL armed groups.
3. Sorting out the citizenship question and the civic rights of Kinyarwanda-speaking Congolese.
4. A regionally-guaranteed and enforced compact on non-violability of sovereignty and territorial integrity - and security guarantees - for both Rwanda and DRC.
5. A globally-enforced, Kimberly Process-type agreement on governing the ethical sourcing, processing and sale of minerals from DRC.
6. Deepened regional integration, with focus on joint regional economic initiatives, where the political and economic cost of conflict is severe.
Leo nimechangia bungeni kuhusiana na mbinu za kisasa za kugharamia afya za watu kufuatia agizo la Rais Donald Trump la kusitisha misaada ya PEPFAR na miradi mingine.
Tanzania tulishaanza kutekeleza mfumo wa bima ya afya kwa wote (Universal Health Insurance (UHI)). Ili mfumo wa Universal Health Insurance (UHI) uwe ni wenye mafanikio lazima ujengwe juu ya mihimili ifuatayo:
1. Population Coverage:
• Idadi kubwa ya watu ni lazima ishiriki, ikiwezekana watu wote katika jamii. Kwa Tanzania watu wasio na uwezo ni Asilimia 26.4, sawa na takriban watu milioni 16.3. Kama hawa watatakiwa kuchangiwa na serikali, tutahitaji takriban sh trilioni 2.445 (assuming mchango kwa kila mtu uwe TZS 150,000/-).
•Sheria yetu ya bima ya Afya kwa wote Na 13, ya Mwaka 2023, kwenye kifungu cha 5, tayari inalazimisha kila Mtanzania kuwa na Bima ya Afya (mandatory enrollment).
•Bila kujumuisha watu wengi, mfumo unaweza kuwa dhaifu kifedha na kushindwa kufanikisha huduma bora kwa wote.
2. Service Coverage:
•Bima lazima itoe huduma muhimu za afya, ikiwa ni pamoja na kinga, matibabu, na huduma za dharura.
•Huduma zinapaswa kuwa za ubora wa juu ili kuhakikisha watu wanapata matibabu sahihi bila changamoto.
•Lazima kuwe na mtandao wa vituo vya afya vyenye miundombinu, wataalamu wa kutosha, na dawa muhimu.
3. Financial Protection:
•Mfumo wa bima ya Afya Tanzania unapaswa kulinda watu dhidi ya mzigo wa gharama kubwa za matibabu (out-of-pocket expenses).
•Chanzo cha fedha kinapaswa kuwa endelevu kupitia tozo za bima, michango ya serikali, na vyanzo vingine vya fedha.
•Mfumo wa utozaji wa tozo (premiums) unapaswa kuwa wa haki, ambapo wenye kipato kikubwa wanachangia zaidi ili kusaidia makundi yenye kipato cha chini.
Kanuni za bima ya Afya kwa wote za Mwaka 2024 hazijakamilika. Zinapaswa kutusaidia kuweka wazi vyanzo vya fedha kwa ajili ya watu wasio na uwezo, namna ya kuwatambua wasio na uwezo na namna ya kuusimamia mfuko wa watu wasio na uwezo. Kanuni hizi hazijatoa majibu kwenye eneo hili.
Maana bila kujibu swali hili gumu hatuwezi kukamilisha mfumo wetu. Hatuwezi kuukwepa mzigo wa kuwahudumia watanzania wenzetu wasio na uwezo, na kwa kuwa Bima ya Afya ni lazima, bila kupata suluhu ya kuwachangia kundi hili, mfumo wa bima ya Afya kwa wote hauwezi kuanza. Ndiyo maana serikali imelazimika kusitisha (kupitia tangazo la serikali namba 700A la Mwaka 2024, tarehe 14, Agosti) vifungu vyote vinavyoweka ulazima wa watu wote kuwa na Bima ya afya, mf. kile kifungu cha 5 cha sheria mama, na vifungu vingine.
#HK #Fighter #NjeYaBox #SiasaNiVitendo
Namaliza leo kwa historia hii.
Ujiji ( hii Ujiji ya Kigoma, Wajerumani wakiita Udjidji) ilikuwa ndio makao makuu ya eneo kubwa la mashariki ya Kongo.
Kindu, mji mkuu wa Jimbo la Maniema katika DRC ya sasa ilikuwa inapeleka ripoti zake na kupokea amri kutoka Ujiji.
Himaya ya Zanzibar chini ya Sultan Majid Bin Said ilitawala mpaka Jimbo la Katanga yote na Maniema yote na hadi kufika Kisangani. Gavana wao Bwana Tippu Tipu makao makuu yake yalikuwa Ujiji. Ndio maana eneo lote la mashariki ya Kongo linaongea Kiswahili kwa sababu Maliwali wao walitoka huku. Wanaitwa Swahiliphones.
Henry Morton Stanley akienda kutafuta urefu wa Mto Kongo alipelekwa huko na Tippu Tipu akitokea Ujiji. Mtakumbuka hapo ndipo 'Dr. Livingstone, i presume' ilifanyika.
Vile vile Wajerumani walitawala Ruanda-Urundi ( ambazo ndio Rwanda na Burundi leo kutokea Ujiji.
Swahiliphones wakiambiwa sio Wakongamani ni Watanzania, watarudi huku mikono mitupu au watarudi na ardhi? Kalemie, Lubumbashi, Manono, Moba, Fizi, Uvira, Bukavu, Kisangani, Kindu, Baraka nk itabidi zirudi.
Niendelee? Inatosha. Tunataka Amani Kongo. Tanzania isaidie kuleta Amani Kongo. Haki za raia ziheshimiwe na majirani waache kuitomasa tomasa DRC.
Leo Naibu Waziri Mkuu kakasirika sana, kakerwa mno na kaumia sana na changamoto za umeme, kazungumza kwa hisia mno na kawauliza Maswali magumu sana TANESCO
Sijawahi Kumuona Dkt. Biteko akifoka hivi hadharani 🙌🙌🙌