Wote tukutane kwenye space ya @JamiiForums kuanzia saa kumi jioni tujadiliane kuhusu chanjo dhidi ya virusi vya HPV vinavyosababisha maradhi mengi ikiwemo Saratani ya mlango wa kizazi #afyacheck
Prof Janabi hana tena deni kwangu, amefanya kazi yake ipasavyo kabisa. Kazi kwetu sasa lol ๐ ! Afya ni mtaji muhimu na ghali kuliko yote, kama unaamini kuna mtaji mwingine mkubwa zaidi hebu niambie ni upi?
Nawakumbusha tu kuwa kikao chetu ni leo kuanzia saa 12 jioni hapa hapa X Space! Nitakuwa pamoja na @liliogreen na @Mkunga_Og na tutajadili yote yahusuyo afya ya uzazi! Hii si ya kukosaโฆ
Kama kuna eneo ambalo #afyacheck@afyacheckonline tunapokea maswali mengi sana hasa kutoka kwa vijana ni Afya ya Uzazi, sasa tumeona tuandae mjadala hapa hapa kwenye X space yangu @DrIsaacMaro kesho Jumanne kuanzia saa 12 jioni tujadiliane kuhusu afya ya uzazi! Usikoseโฆ
Asante kubwa sana kwa @JamiiForums kwa fursa hii adhimu kabisa ya kuwa moderator wa mjadala huu mkubwa na wa kihistoria kuhusu ugonjwa wa Kifafa (Epilepsy) ๐ ๐
Upimaji wa Afya ni muhimu sana. Maradhi mengi yakigunduliwa mapema huwa rahisi kutibu na kuzuia madhara.
Ndugu zangu wa Tanga tumewaletea fursa hii ya kupima Afya yako bure. Karibuni Viwanja vya Sekondari Usagara Tar 21 - 25 Agosti kuanzia saa 2 asubuhi @DrIsaacMaro #AfyaCheck2023 #Tanga #MtuNiAfya #PimaAfyaYako #JuaNambaZako
MDH has been supporting the #AfyaCheck campaign led by @DrIsaacMaro in an effort to provide free healthcare services to the public and improve health education.
#untileveryoneishealthy
"We appreciate MDH for the support extended to #AfyaCheck in 2022 and 2023, that reached over 17,000 Dar Es Salaam residents", said Dr Isack Maro, founder of AfyaCheck Community Outreach Programs (ACOP), as he handed trophies to MDH-CEO, Dr David Sando.
#untileveryoneishealthy
SEKTA YA AFYA: Je, una Maoni/Ushauri kuhusu Jambo au Utaratibu unaotamani ubadilike katika kuboresha Sekta ya Afya Nchini?
Usikose kujiunga nasi katika Mjadala wa Mapendekezo kwa Wizara ya Afya siku ya Alhamisi Julai 13, 2023, kuanzia Saa 12 Jioni hadi Saa 2 Usiku, kupitia Twitter Space ya @JamiiForums
Wizara itakuwepo kusikiliza na kuchukua maoni ya wadau wote ili iyafanyie kazi au kuyatolea Ufafanuzi (itakapobidi)
Jiunge nasi https://t.co/CyaIpITS2O
#Afya #PublicHealth #ServiceDelivery #JFHuduma #Governance