Nipo kwenye gari hapa, kuna abiria ananiuliza hivi waziri wa kilimo anaitwa nani?...Mimi nimemwambia aende kwanza SUMATRA akachukue kibali nitamjibu😎. Sio kwamba simfahamu, ila najaribu kufuata sheria za nchi.
🏃🏃
Hey YOU!!...
.
Yes you, who is reading this post right now... "You are going to be successful and you will make your parents proud" 🤓
#BeYouFirst#BeAloneSometimes#LM
Huwezi kuwa kama mwingine wakati umeshindwa kuwa wewe. Pigana vita ya kuwa wewe kwanza ndio utaweza kuwa kama wale wengine!!
#BeYouFirst#BeAloneSometimes#LM
Mapa paap...Wakamgonga nyoka alafu hajafa. Sasa hivi nawaona wanalima wamenyanyua miguu juu kwa hofu ya kuumwa na nyoka!!
Anyway pray hard for the legendary @tundulissutz