Karibu kusherekea nasi, Maadhimisho ya siku ya ukombozi wa Afrika itakayofanyika tar 25.05.2025, Mbezi mwisho kwa Yusuph kuanzia saa tatu asubuh mpaka saa kumi na mbili jioni
Cc: @watunzamisingi
#HipHopfamily ni @drlukuwi
Gusa Link upate elimu na hamasa kuhusu afya ya kinywa.
Lini ,kwanini na niwapi majibu yapo kwenye wimboโ๐ฟ๐ฎ๐ฟโโ๏ธ
https://t.co/esg5QJkfFz