To all my people who once enjoyed a free consultation. (Midnight calls and Endless questions)
I would like to inform you that time for License Payment is due.
Your response to this information will determine our future ties.
Judgment is the key, and my judgment will invariably differ from yours. Our circles of competence are necessarily different. Our interpretation of the past differs, and our prognosis for the future must as well.
Tunapoendea ushirikiano wa Vyuo vya kati na viwanda: UHALISIA TUKIPIMWA KIMATAIFA unakuta Tunapelea Si ndio?!..
Nina Ushauri Binafsi:- Hasa kada ya Afya
Cadre za Afya especially DIPLOMA napendekeza Waweke Priority Kubwa kudahili wale walio Pita/ Form 5&6 Hivi Vitoto vinavyo
Maliza Form 4 na kukimbilia chuo Asee ni Hatari zaidi, Yes vinaweza vikawa na Knowledge based lakini 95% vina luck MATURITY based ya UTENDAJI ( Unamwambia mwanafunzi ambae kwanza ni mtoto afanye hiki unashangaa anaanza kulia SERIOUSLY 😒)
Confidence na Esteem ni Zero kabisa
IBILISI anajua TUSIPOJUA UKWELI huu Tutatiria mashaka MSAMAHA WA KWELI WA MUNGU. mana kiukweli MUNGU ANASAMEHE LAKINI SIO LAZIMA AKUTENGE/AONDOE MATOKEO YA DHAMBI …
Kama ulivuta sigara ukapata SARATANI ukitubu kwa dhati MUNGU anakusamehe, lakini haiondoi saratani hiyo.
“Msamaha wa dhambi haushughuliki na matokeo ya dhambi”
Mungu husamehe Dhambi, na sio matokeo ya dhambi hiyo (lakini Haondoi matokeo ya dhambi yenyewe).
NOTE: na hiki ndiko IBILISI anataka TUSIAMINI TUMESAMEHEWA.
Najua Haujanielewa:
Iko Hivi Ikiwa Mimi nimepata shida ya Kiafya kwa mfano, nimeugua Ugonjwa kutokana na Uasherati, alafu badae nikakutana na YESU, ninatamani kusikia Sio tu AMENISAMEHE DHAMBI Lakini amenitenga na Ugonjwa kutokana na uchaguzi wangu wa zinaa . SIVYOO
Mlitazamia vingi, kumbe vikatokea vichache; tena mlipovileta nyumbani nikavipeperusha. Ni kwa sababu gani? Asema Bwana wa majeshi. Ni kwa sababu ya nyumba yangu inayokaa hali ya kuharibika, wakati ambapo ninyi mnakimbilia kila mtu nyumbani kwake.
Hagai 1:9
Hakunaga Swali Gumu na Zito kwa Muulizaji kama Swali la
Why did you do it?
Sio kwa muulizwaa… naah kwa anae Liuliza.
Ni zito mnoo .
You can spend 20yrs searching the Reason to the Person who Did it in 1 or 2 days.
Yaani Kila siku unafanya kazi kuokoa maisha ya watanzania Wanao ongeza uchumi wa Nchi kwa kuchapa Kazi. Ukistaafu unapewa vihela vyako tena kwa kikokotoo.
Wenzio kila baada ya miaka mitano wanavunja kikoba wanalipwa Mil 400 ya kiinua mgongo/Pension.
Bali wewe usalipo, ingia katika chumba chako cha ndani, na ukiisha kufunga mlango wako, usali mbele za Baba yako aliye sirini; na Baba yako aonaye sirini atakujazi.
Matayo 6:6
“lakini mimi nawaambia, Kila mtu amwachaye mkewe, isipokuwa kwa habari ya uasherati, amfanya kuwa mzinzi; na mtu akimwoa yule aliyeachwa, azini.”
Matayo 5:32