Urafiki wako we na mwanao ulishawahi kujaribiwa na mwanamke?
Yaani mwanamke/mdada akaingilia kati hapo akataka kuchanganya vichwa vyenu vinne?
Mlitoboa?
Aje?
share kama unaweza๐๐๐
@SwahiliKid22@NikkiZohan Kiutunzii bado ni under nenga
Uwanjani fundi anae walamba chenga
Kwenye corner shwaaa yaani kama chemba
Squad no retreat no surrender