PETER DRURY NA KINYWA KINACHOBARIKI SOKA KWA LADHA TAMU YA MANENO.
✍Goal for South Africa,Goal for all Africa, Haya ni baadhi ya Maneno yaliyotoka kwa binadamu aliyeumbwa kuucheza mpira kupitia kipaza sauti, Ilikuwa katika Kombe la Dunia pale Afrika ya kusini mwaka 2010
Album yangu mpya inatoka tarehe 8/12/2023.
1st release tarehe 1/12/2023.
Bei ya Pre order(malipo ya kabla) ya album ni tsh 15000/=.
Album ikitoka bei itakua ni tsh 20,000/=.
#MitaaFlani
NAMNA YA KUANDAA WAZO LA BIASHARA:
UZI🧵👇🏾
Kwa maneno machache mno, Business plan ni andiko la kibiashara ambalo unaelezea wapi uliko kwa sasa, na wapi unataka kwenda (Future), ukielezea mikakati (strategies) utakayotumia kufika huko kwenye malengo (Goals) uliyojiwekea.
🧵👇🏾
@TzclassicBars@AdamShuleKongwe Na vurugu nyingine tu ama usumbufu, hata bila mabomu na kushikiana mitutu/ fikiri kuhusu uhai na pumzi unayovuta, kisha wazia kudai huna pumzi umekufa.
WATENGWA NA WU TANG 🙌🏾
Yaww #Hiphopfamily hii ni another biggest collabo this year toka kwa kaka @chindoman_umbwa ,pengine tunachukulia poa lakini kiukweli amefanya mapinduzi makubwa sana kwa kupata collabo hizi.
Safari hii ameshirikiana na mshirika wa kundi la 👇🏾
@LucasOdero8 Emcee number one, mfano wa mitaani/ Wapinzani nawapiga vichwa kama Zidane, natema madini kama migodi ya Mererani/ Nakueleza mambo usiyofundishwa darasani
"Usinipite mwokozi, Unisikie,
Unapozuru wengine, usinipite.
"Yesu, Yesu! Unisikie,
Unapozuru wengine, usinipite.."
Ni wimbo ulioandikwa mwaka 1868 na mwanamama Fanny Crosby, aliyezaliwa katika kijiji cha Brewster huko New York, Marekani.
.
.
SIKU YA MWISHO:
Baaada ya kumaliza kazi ya kutoa roho za viumbe wote duniani, Malaika mtoa roho (Israel) atarudi kwa Mwenyezi Mungu na kumueleza kuwa kazi imeisha.
Mungu atamwambia bado kuna roho moja imebaki.
Israel atarudi duniani na kufanya msako, kisha atarudi tena kwa..
.
WALIANZA KULA MIILI YA WENZAO BAADA YA KUKOSA CHAKULA:
Utakumbuka kisa cha ajali ya ndege iliyotokea mwaka 1972 iliyoanguka Amerika ya Kusini kwenye milima ya barafu ya Andes iliyo Argentina na Chile.
Kati ya abiria na waendeshaji 50 wakiwemo wachezaji wa mpira wa Rugby..
.
.
MOISE KATUMBI CHAPWE NA MSAMIATI WA "CONGO DRC NDIO ITHIBATI KUWA SI KILA UTAJIRI NI BARAKA":
Moise Katumbi Chapwe ni mkogomani mwenye asili tatu, anaasili ya Israeli kwa bibi wa baba yake, Mgiriki kwa Baba na muitaliano kwa babu wa baba yake.
Mama yake alikuwa ni mkogomani..
.
Pata nafasi ya kusikiliza mangoma makali, midundo and rhythms kutoka kwenye Album ya tatu ya KAYMAPACHA,0101 ALBUM kwa kiasi cha Tsh 20,000 Tu. Utaipata kwenye mfumo wa Softcopy na hardcopy.
Act fast – tupigie simu leo kupitia namba 0713233203 or 0769474773.