@MarekaMalili Hii ndo agenda yake kubwa akishavuruga mama na baba vitoto vinafuata. Jamaaa ni mtu wa mahesabu aonagi sababu ya kudeal na matawi anachimba anachomoa mizizi anakatakata kwisha habari
My friend accidentally splashed my foundation all over the floor and immediately gasped, “Oh my God, I am so sorry. What do I do now?”
I stared at the mess for a moment with disappointment. Then, I looked up and asked solemnly, “If the foundation has been destroyed, what shall the righteous do?”
CANCER HAS FINISHED ME AND COMPLETELY DESTROYED ME. The hospital has stopped giving me my medications because my outstanding bill has become too much. I am still very sick and nowhere near well enough to be cut off from treatment. Right now, I am being asked to clear an
Tatizo si tu upungufu wa dawa, bali ni usimamizi wa mnyororo mzima wa ugavi. Dawa kuharibika ghalani huku wagonjwa wakizikosa vituoni ni ishara ya mifumo isiyofanya kazi kwa ufanisi, uwajibikaji hafifu na matumizi yasiyo sahihi ya rasilimali za umma. Mwisho wa siku, anayebeba mzigo ni mwananchi anayehitaji huduma za afya kwa wakati. Ni wakati wa kuimarisha uwazi, teknolojia na uwajibikaji katika sekta ya afya. #RaiaMakini
Kuna huyu mama wa Arusha alikuwa anamtetea mwizi asiuliwe, kasema anaweza kuchange na hata HAMJUI. Kasema “Hata nyie hapa mna dhambi za sirii”. Ni ombi langu kwako Mungu akupe mtetezi katika maisha yako asikosekane mtu wa kukutea hata kama kweli umekosea.