@MunaDavy@Eliamen1@Sativa255 Biashara haifanywi na kila mtu mkuu na kila mtu sio km anaweza kufanya biashara
Kuna nyota na ubunifu unaohitaji akili pia
@Love_Conquers3@DullahTheking2 Hizi story zipo muda mrefu miaka nenda miaka rudi ila ushahidi hakuna.
Hata hyo chid ukisema athibitishe hawezi zaidi ya bla blah
Swali ni je anawaanzaje au ni Yeye anawakula au ndio ile muosha uoshwa
@Atwende16 @Rydx_017@athanas_pius@babalao__@DullahTheking2@JayleenRickie@MissChelsea1221@Balyx_ Matendo machafu na dhambi zenyewe hazitufanyi tuwe mbali na baraka/laana ya M/Mungu kwa sababu ni yeye humuongoa amtakae,kuna gharama kubwa sana kumtumikia shetani na mawakala wake
Tuamini katika ukuu wa Mungu na tusidhihaki pale tunapoona mja karudi kwa TOBA YA KWELI
@Sativa255 Tiss wa konyo
Mbwa mmoja tu yuko hapo salasala analelewa mnasema usalama,hii nchi ujinga hautakuja kutuisha waTz
Huyo kenge ni mtu wa masifa mengi hata awapo watu asiowajua,ni mtu wa kujisifu sana na kwa taarifa yako ni kiBen10 sijui dem wake ndio anamtia jeuri na vise the vyake
@nasrimgambo@Wakazi Na huyo huyo hao mnawaita sijui A list wakiwa na mavitu yao wanamkimbilia @Wakazi
Machoni wanamkataa ila mioyoni mwao yumo.
Ki fupi General knowledge aliyonayo ni hazina kwa wenye uelewa ila kwa mtu asikuwa na exposure ni ngumu san kumuelewa.
Je #Kisimani mmeisikiza?
@nasrimgambo Kuna kitu ambacho nimegundua wabongo wengi hatuelewi kuhusu @Wakazi na wenda itachukua muda sana kumuelewa jamaa.
@Wakazi ana kofia nyingi na zote anazitendea,sema kwa kuwa wengi wanakimbilia kwenye mziki/Hit wakijua ndio fimbo ya kumchapia.
Huyo huyo kafanya show BBA bila hit
@VodacomTanzania nauliza km ndio mmeamua kuibia watanzania kwa style yenu ya kufunga mawasiliano ya moja kwa moja na mteja
Nimenunua umeme siku ya jana na token hamkunipa mnadai ndani ya 24hrs
Leo pia mnasema 24hrs
Kwa hyo ndio imekuwa namna yenu ya kuingia mpaka mifukoni mwetu