Msimu umeisha... Kuna watu hawana kombe lolote, hawajavaa Medali yoyote Halafu bado wanabishana, Sijui wanabishania nini! .. Nawaza tu https://t.co/Hjbvt9OcgY
FULLTIME: Yanga sc 1-2 USM Alger.. Mimi Ningechagua ANDAZI... Wananchi kabla ya kwenda Algeria, kwanza twendeni Tanga tukaweke mambo sawa. https://t.co/FysooA9XQs
Wananzengo kwa Mujibu wa CAF hii michuano ya Shirikisho Africa imeanza mwaka 2004, Na Timu zilizochukua Ubingwa ndio hizi..!! Sasa ile ya 1993 ilikuwa ni michuano gani!!? https://t.co/VpDaQXixoD
Vitu viwili ambayo hupaswi kuviamini Duniani ni Mwanamke na Arsenal !! Vibudu hawa wamempa Ubingwa Pep kabla hata hajacheza. ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
... @kingmfumu @sangujoseph https://t.co/haL65Bz4ME