@MagdalenaOrg@IamMadamAkinyi@flahisha Ndomana ikaitwa mitandao ya kijamii anatuonesha anachotaka tuone. Ayo ya kwako kaongee na familia yako iyo ndo fanbase yako.
@SharifaSabrina Kama uliwahi kuumwa tetekuwanga ugonjwa huu una % kubwa ukakupata uzeeni kwa wale wenye upungufu wa kinga mwilini sababu ya mawazo au madawa makali wana hati hati ya kuupata huu ugonjwa.