@YoungAfricansSC Ivi si mlisema mlikuwa mnafunga goli 7 kila timu kwenye hii pre season,, au mlicheza UMITASHUMITA. Kwenye keleleee za usajili tu mhhh mnakuwaga wahuni, nikikumbuka usajili wa conte, na mwaka huu kwa mbwembwe zote zile nawaambia mtaambulia PATUPU
@IamMadamAkinyi@flahisha Simjui kwanini wanadhani wao tu ndo wanaishi.. Tumeweka maisha mtandaoni mno, kwanini asiwaite ukoo wake awaambie huku mitandaoni inasaidia nini. Nyumba zenyewe mbaya hata kuwasaidia kuwajengea hakufanya anajidhalilisha
@MsigwaGerson EMBU LEO TUKUBALIANE PASIPO KUKUBALIANA, BBC SIO NIPASHE, SIO DAILY NEWS, SIO MWANANCHI NEWS PAPERS, SIO TBC, SIO ITV, SIO CHANNEL 10, BBC KUNA WAANDISHI WA HABARI WENYE UJUZI WA KIMATAIFA, HAWABAHATISHI, HAWAFOKEWI, HAWAFUNGIWI, HAWATISHWI. HAWAELEKEZWI WATOE HIZI WAACHE ZILE.
@GraysonMchopa@IamMadamAkinyi@Sirajitz1 Hakupaswa kushutka sasa , si alishajua nia yake, angesema "sijashtushwa" maana aliwahi kuandika anataka kustaafu. Kiswahili ni lugha simple Sana mbona? .