@AnthonTango@Hombyjr1 Dm timu imeshambuliwa kwanza mkaona Jana mpira mmoja alipoteza endapo unakutana na mpinzani hatari ni goli moja kwa moja DM Wanacheza watu hawana mambo mengi mfano Yusuph
MUST(MBEYA UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY). Ndio chuo ambacho hakitajwi lakini kinatoa wahandisi bora sana.
Na hata wahandisi wa vifaa tiba wanaofanyiwa udahili MUHAS, huwa na miaka ya masomo ambayo huenda kupata ujuzi MUST.
MBEYA ILIPENDELEWA๐
-HAMPENDI UKWELI NYIE๐๐ซต๐ฟ