@eli_njex@DullahTheking2 Uongo!! Hakuna alichotabiri kikatimia
1. Obama sio black american ni African American.
2. Hao watoto bado hawajakaa mpaka sasa sytematic race cards zimepamba moto. Na zinafanyika wazi wazi now.
@_zack255@moodewji Labda hayakuwalenga waswahili!! Target audience yake ni non swahili speakers ambao kwa kiingereza wanaweza kutafsir kwa lugha zao mbali mbali. Saa zingine inakua ngumu kutafsiri kiswahili kwenda kimandarini lakini kwa kiingereza lugha yeyote tu ni rahisi kuitafsir mtandaoni.