@EsirEid Itabakia ni mtazamo wako, ila Siasa za Kenya ukipata backup ya Mt Kenya, asilimia za kushinda ni kubwa ndio mana upinzani wote wanaenda kwa Rigath Gachagua. Sifuna ali-diclare kwamba ana support ya RG.
Yote kwa yote, tutaendelea kujifunza kwenye siasa za Kenya.
Mm kwa siku contents ninazoziona na kuzisikiliza humu X na TikTok, 70% ni kutoka Kenya, hasa siasa zao na namna Social Media zinataka kuonyesha influence yake kumpeleke @edwinsifuna State House.
Mpaka zinafufua ndoto zangu za kuishi Kenya au Mtoto wangu lazima akasome Kenya.
WIZI WIZIII WIZIIIIII🎤😭
🧠Kuna wizi wa fedha za wananchi unaendelea hapa MSAMVU BUSS TERMINAL...(Kituo cha mabasi msamvu)
🫵Ukiwa mtu unataka kuingia ndani ya stend unapaswa kulipa Tsh 300 tu..ili uingie ndani...kwa hili sina shaka nalo ni moja kati ya kuchangia pato la Halmashauri yetu ya Morogoro mjini👏
🚮Kuna haka kamtindo kamekua kakijirudia rudia kwa watu wanaopokea 300 zetu pale kwenye kibanda cha vioo kabla hujaingia ndani stend....
🚮Ukitoa 1000...unapaswa urudishiwe 700,but unapewa 500...halafu unaambiwa 200 hatuna chenchi...
Ama ukiwapa 500...unapaswa urudishiwe 200,but unaambiwa 200 hatuna chenchi...🤔
📌kwa mtu mmoja mmoja 200 sio nshu,kubaki pale...but nikafanya utafiti mdogo..nikagundua zaidi ya watu 800...mpaka 1000 wanaingia pale Msamvu..
Sasa tufanye watu 200...300...ndio wanaopewa chinchi zao...then watu zaidi ya 600...700...wanaambiwa chenchi hakuna...
Watu wa Mathematics..tusaidiane hapa
200×700=Tsh 140000/= na haya ni makadilio ya chini
Hiyo ni fedha inayobakia tu kwa mfanyakazi wa kawaida anae nikatia tiketi mm niingie ndani...🚮
Niulize kitu kwa 👇
Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro (MMC)....Ama,Msamvu Properties Company....zamani LAPF.....Huu ni mradi wenuuuuuu...ama ni mradi wa hawa madogo tu pale dirishani?????
Ama ni kweli chenchi wanakua hawana,dahhhhhh🙌🙌🙌🙌
Wakuu tag wahusika iwafikie hii🫵
@Europarl_EN@UNHumanRights@commonwealthsec@tedcruz@SenatorShaheen@SenateForeign@SFRCdems
Samia Suluhu has begun eliminating key witnesses to the October 29 atrocities, individuals who could testify against her in the future.
An independent investigation must be launched to establish exactly what happened to this witness at Muhimbili National Hospital. The circumstances surrounding this case demand urgent scrutiny and accountability.
DAR: Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Irene Charles Mbonde amesema "Mgonjwa Angel Wariaeli amefariki usiku wa kuamkia Novemba 18, 2026 akiwa anaendelea kupatiwa matibabu katika hospitali yetu. Tunatoa pole kwa familia, ndugu, jamaa na wote walioguswa na msiba huu.”
Ikumbukwe, Angel alijitokeza mitandaoni mwanzoni mwa Mwaka 2026 akiomba msaada akisema alipata majeraha Oktoba 29, 2025. Novemba, 2026 alipokelewa Muhimbili kwa matibabu kabla ya umauti kumfika.
Fuatilia zaidi https://t.co/N4VY0AGttp
#JamiiForums #JFMatukio
A cluster of treason cases in east and southern Africa can be read as a stress response. Political systems are beginning to come apart under the pressure of public dissatisfaction, https://t.co/jV7VSkAHYH
Photo: Reuters
MARIDHIANO AU UPATANISHO HAVIWEZI KUFANIKIWA BILA UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI!
Maridhiano au upatanisho wa kweli na wa kudumu hauwezi kufanyika bila kwanza kuwepo kwa Tume Huru, Jumuishi na Yenye Kuaminika ya UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI.
Tume hiyo lazima ijumuishwe na wataalamu wenye uwezo na uadilifu kutoka ndani na nje ya nchi, pamoja na uwakilishi wa wahanga wenyewe, ili ukweli wote kuhusu yaliyotokea uweze kubainika, haki itendeke na uwajibikaji uweze kupatikana.
Hatuwezi kwa dhati kufikiria kukaa kwenye meza ya mazungumzo huku wanaharakati, watetezi wa haki za binadamu na wanasiasa wanaosimamia misingi ya UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI wakiendelea kuwindwa, kutishwa, kuwekwa kizuizini au kubambikiwa makosa yasiyo na dhamana kwa hila bila aibu halafu hao hao wanaofanya unyama huo wanahubiri Nuru katikati ya Giza.
Hali inakuwa ya kusikitisha zaidi pale ambapo kiongozi mkuu wa chama kikuu cha upinzani ndugu Tundu Antipas Lissu kwa Uonevu na ukatili usiomitjilika anapokuwa gerezani katika mazingira ambayo uhalali na uadilifu wake wa kisheria vinazua maswali mazito.
Ni muhimu tuelewe jambo moja na Tuliseme bila kupepesa macho:
Mgogoro huu si mgogoro wa vyama vya siasa; ni mgogoro unaohusu haki, utu, usalama na uhai wa RAIA.
Kwa hiyo, tuache kujidanganya, kujilisha upepo au kubeza na kupuuza madhila ya wahanga, hususan vifo na mauaji yanayodaiwa kufanyika dhidi ya raia wasio na hatia kabla, wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025. Maumivu ya wahanga hayawezi kufutwa kwa matamko ya kisiasa, wala ukweli hauwezi kufunikwa kwa kauli za maridhiano.
Maridhiano si njia ya kufuta makosa, kuficha ukweli, kusamehe bila kujua kilichotokea au kuwapa kinga wale wanaopaswa kuwajibika. Maridhiano ya kweli yanapaswa kujengwa juu ya kukiri ukweli, kutambua madhara, kutenda haki, kurejesha utu na kuhakikisha uwajibikaji. Huwezi kujenga amani ya kudumu juu ya misingi ya dhuluma, ukimya na kutokuwajibika
UKWELI ndio mwanzo.
HAKI ndiyo msingi.
UWAJIBIKAJI ndiyo daraja.
MARIDHIANO ndiyo matokeo.
Kufanya kinyume na utaratibu huu si kujenga maridhiano; ni kudhihaki ufahamu wetu, kupuuza maumivu ya wahanga na kuahirisha mgogoro ambao hatimaye utahitaji kutatuliwa.
BAK MWABUKUSI
UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI VITALIPONYA TAIFA
The case by Ruto’s minions seeking to block the ORPP from implementing decisions of the Friday NDC has collapsed. The High Court has refused to issue those orders clearing the way for the rebrand of TEP to LMM. It’s full steam ahead for now. We know kasongo will not give up, but every hurdle he puts in our way, we shall surmount. Salute to our overworked legal team. Msichoke tutapumzika state house.
WATANZANIA, tusikubali AFCON ikawapa ushindi wauwaji wa OCTOBER 29.
TUHAKIKISHE afcon inaonyesha dunia kilichotokea Tanzania OCTOBER 29 2025…. NA KWAMBA TUNAJITAJI MSAADA WAO………
Nimetoka Gereza la Ukonga, kumtembelea Mhe Tundu Antiphas Mghwai Lissu mfungwa mwenye namba 623/2026, yuko salama ameanza maisha mapya.
Mhe lissu ametupatia ridhaa Mawakili wa Chama, chini ya Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Dr Rugemeleza Nshalla kumwakilisha kwenye rufaa inayokusudiwa kusajiliwa na mambo yote yanayohusiana nayo, kufuatia uamuzi uliotolewa tarehe 6 November 2026 na Mahakama kuu, Masijala ya Dar Es Salaam.
Mhe Lissu amepokea nakala ya taarifa ya kukata Rufaa (Notice of Appeal) ambayo imesajiliwa Mahakamani, pamoja na nakala ya hukumu iliyosomwa November 06, 2026.
Aidha, hatua nyingine za kisheria zinaendelea kwa uratibu wa mawakili wake.
The International Democracy Union (IDU) condemns in the strongest terms today’s verdict against IDU Executive Vice Chair @TunduALissu, Chairman of @ChademaTZ2, Tanzania’s main opposition party.
The High Court in Dar es Salaam found that the charge of treason, on which Mr. Lissu has been imprisoned for nearly nineteen months, and which carried the death penalty, had not been proven. Rather than freeing him, the court convicted him of incitement, an offence with which he was never charged, and sentenced him to four years in prison.
This is no act of leniency, and the world should not mistake it for one.
Read more here: https://t.co/ibI5cnBfSq
“Today the High Court has confirmed what we have said from day one: the treason charge was a political fabrication. The prosecution failed to prove any intention to intimidate the government.
Instead of ordering my release after 577 days in detention, the court has convicted me of an offence I was never charged with and never given a chance to defend.
This is not justice. This is damage control.
History will record how the court searched for a lesser charge simply to keep me in prison.” Tundu Antipas Lissu
November 6, 2027
—Admin.
Tanzania High Court's ruling acquitting comrade Tundu Lissu of the politically motivated treason charges is a victory against the ultimate weapon of state intimidation. The Tanzanian regime tried to threaten him with the death penalty simply for demanding free, fair, and transparent electoral reforms but failed to prove its malicious claims because truth cannot be hidden by judicial overreach.
However, the decision to convict him on the engineered, lesser charge of "incitement" and to sentence him to four years in prison is a glaring reminder of how autocrats weaponize the judiciary to silence legitimate opposition. Convicting him for his rightful defense of democracy - his call for "No Reforms, No Election" - proves that the state manufactured an offense purely to keep a powerful voice of the people locked away.
From Kampala to Dar es Salaam, our struggle against generational dictatorships and electoral autocracy remains unified. A cage can restrain bodies, but it can never imprison the spirit of freedom ignited across the region.
We stand with you, Chadema, and with you the great people of Tanzania, in rejecting the ongoing persecution. Aluta Continua!
All people of goodwill and supporters of democracy across the world are relieved to see the trumped up treason charges against Comrade Tundu Lissu collapse, following his acquittal today.
These charges should never have been brought in the first place. Lissu’s only crime was to call for basic reforms to the electoral architecture in Tanzania to guarantee a fair process. He has lost over two years of his life in custody as he fought off the charges.
We encourage Ndugu Lissu, the CHADEMA Party and all our Tanzanian brothers to take heart and remain strong in their pursuit of justice and freedom, in the knowledge that all forces of regression are usually ultimately defeated.