Come and visit London’s Home of Trophies. 🏆
Book your Stadium Tour at Stamford Bridge now. ⭐️⭐Come and visit London’s Home of Trophies. 🏆
Book your Stadium Tour at Stamford Bridge now. ⭐️⭐Come and visit London’s Home of Trophies. 🏆
Book your Stadium Tour at Stamford Bridge now. ⭐️⭐Come and visit London’s Home of Trophies. 🏆
Book your Stadium Tour at Stamford Bridge now. ⭐️⭐Come and visit London’s Home of Trophies. 🏆
Book your Stadium Tour at Stamford Bridge now. ⭐️⭐Come and visit London’s Home of Trophies. 🏆
Book your Stadium Tour at Stamford Bridge now. ⭐️⭐️
"Vikundi vya mikopo ni kuanzia watu wa 5 hadi 15. Lakini ili uweze kupata mkopo ni lazima uwe na namba ya NIDA pia ni lazima muwe na malengo sawa ili muweze kuutumia vizuri mkopo huo mtakapopewa na Halmashauri"— Neema Michael Afisa Mikopo Jiji.
#YouthEmpowermentTz | #Mulika255
YEE Project Leo Wilayani Kondoa .
Picha ya pamoja ya Maafisa, Vijana na Viongozi wa Mulika Tanzania. Baada ya Youth Economic Empowerment Workshop kumalizika leo. Vijana toka Kijiji cha Mnenia Wilaya ya Kondoa.
#YouthEmpowermentTz#Mulika255
Africa Banking and Insurance Awards 2024.
Join us as we honour the best in the microfinance sector, showcasing the institutions and innovations that are advancing financial inclusion and empowering communities.
Submit Nomination : https://t.co/hjdxBOpHxa
Deadline: 30th Sept
Kataa Unyanyasaji mtandaoni.
Pata vidokezo hivi kuzuia unyanyasaji mtandaoni. Kila mmoja ana haki yakuwa salama akiwa mtandaoni.
#OnlineSafetyTz | #Mulika255
Kwa watumiaji wote wa Mitandao mnapaswa kufahamu hili kuhusu WI-FI ya Umma kwa kutumia VPN.
VPN inachanganya trafiki yako ya mtandao na kufanya iwe vigumu zaidi kwa yeyote kuiba data zako na kufuatilia shughuli zako mtandao.
#OnlineSafetyTz | #Mulika255
Je' wajua unapotumia Wi-Fi ya Umma unatakiwa kuwa mwangalifu.? Kuna uwezekano wa taarifa zako za Kibenki kudukuliwa.
Mkumbushe na mwenzio, kuwa salama mtandaoni inawezekana.
#OnlineSafetyTz | #Mulika255
Uhuru wakujieleza unasaidia ukuaji wa utawala bora katika nchi, uwasilishaji wa huduma za kijamii, usawa wa huduma na mahitaji kwa watu wenye uhitaji maalumu, kuhoji na uwajibikaji kwa viongozi. ~ @joyceshebe_#OnlineSafetyTz | #Mulika255
Kwa Sasa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania @TCRA_tz tuko vizuri na watumiaji wameongezeka kufikia milioni 72 kwa huduma za simu, huku milioni 36 kwa watu watumiaji ya mitandao. ~Irene Kawili- Principal ICT Officer,TCRA
#OnlineSafetyTz | #Mulika255
Lengo letu kijana ajitambue kwa kuongeza uelewa na kuwashirikishwa kwenye program zetu mfano digital clubs. Kuanzia shule za msingi mpaka vyuo, vijana hushirikishwa ili kukuza uelewa kuhusu mitandao. ~Irene Kawili- Principal ICT Officer,TCRA
#OnlineSafetyTz | #Mulika255
Agenda ya Vijana inabeba vipaumbele vyetu kama vijana na kuona vinatekelezwa. Agenda ya Vijana itagusa maeneo kadhaa ambayo yatakuwa natija kwa kila kijana hapa nchini. ~ Rajabu Mpilipili
#OnlineSafetyTz | #Mulika255
Leo siku muhimu sana mpaka Vijana wamefanikisha kuunda makundi na kuzungumza mengi kuhusu usalama wa Mtandaoni na namna inavyoweza kutusaidia.
#OnlineSafetyTz | #Mulika255
Tunapoadhimisha Siku ya Mtoto wa Afrika, hebu tusherehekee uwezo mkubwa wa watoto wetu. Tujitolee kuunda mustakabali ambapo kila Mtoto wa Kiafrika ana fursa ya kufikia uwezo wao kamili. ~ Sara Wange
#OnlineSafetyTz | #Mulika255