Mtoto wangu leo: Baba, nasikia mwaka 2000 watu mlijifunguia ndani mkisubiri mwisho wa Dunia. What made you think so?😂😂😂
Mimi: Ni matapeli fulani tu wa imani mwanangu, hawajui mwanzo lakini wanataka kupredict mwisho😂.
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania Tovuti: https://t.co/cnxHoY889H
Hukumu ya kesi ya kubaka kwa kundi na kumwingilia kinyume cha maumbile binti, mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam inayowakabili washtakiwa wanne wakiwamo askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na wa Magereza, itatolewa leo Septemba 30, 2024.
Kesi hiyo ya jinai namba 23476 ya mwaka 2024 inawakabili washtakiwa wanne akiwamo MT 140105 Clinton Damas, maarufu Nyundo ambaye ni askari wa JWTZ, askari Magereza C.1693 Praygod Mushi, Nickson Jackson ‘Machuche’ na Amin Lema anayejulikana pia kwa jina la Kindamba.
Hii akaunti ya #MzalendoDaily inamilikiwa na wahuni wa mfumo/wanufaika wa utawala katili wa CCM. Puuzeni uongo na uzushi wao. Mwenyekiti Freeman Mbowe yupo salama, mwenye afya njema. Nimezungumza naye kwa kirefu. Wanatamani sana kumuona MWAMBA hayupo salama. Mungu anamlinda.