@SimbaSCTanzania Mabango kibaaao
Kwani wanentu hata mishumaa mmekosa Ile kinafki tu
Kama hata Papa kiongozi wa kidunia anajua lilikuwa na machafuko Tanzania
Ninyi mko hapo Kariakoo tu ni kwamba hamjui...
Twendeni tu wanetu
@YoungAfricansSC Wanetu mkakosa hata kabendera ka nchi na tumishumaa twa mia nne tuwili muweke kwenye bango lenu
Mnauhakika hakuna mwana yanga aliekutwa na hii dhahama
Anyway fresh wanetu
@jackielawrencem Huyu ni nani anamaliza wino kwani
Maelezo meeengi
Kwa kifupi semeni mlipigwa mkwara wa kuripoti chochote kibaya kuhusu uchaguzi
Mengine haya ni kung'ata na kupuliza tu