There is no RESPONSIBLE prosperous country in the world which doesn’t OWN and operate PUBLIC corporations. Selling off State Corporations when we can make them PROFITABLE is a mistake. Our priority should be the REPATRIATION of TRILLIONS of LOOTED public resources stashed abroad.
#NUKUU "Dalili nyingine ni vipele vidogo vidogo kwenye kifua, sehemu ya mgogo na tumboni, kusikia kichefu chefu kutapika, koo kuwasha, kuharisha , kupungua uzito kwa haraka sana na wengine huonesha kama kuchanganyikiwa" - Dr Rashid Mfaume, RMO Dar es salaam.
Hii Plate number holder ni maalumu ya kubadilisha. Ukiona iko hiyo ya njano ujue ni feki kama wako kwenye shughuli zao maalumu wanapachika nyingine. Either way kama dereva amemgonga mtu wa pikipiki sio sawa kwa sababu hakuna aliyejuu ya sheria.
Kaka BASHE.
1. Ni sahihi fedha za Mradi wa BBT kuombwa kupitia TURIA TRUST ? TURIA TRUST kuwa na ushawishi wa kijana/Mama yupi anufaike na yupi asinufaike? Ni sahihi kupitisha fedha kwenye account ya TURIA TRUST kwaajili ya mradi wa BBT?
Githeri Media: where do you see Irvo Otieno “struggling” with police and medics? You can’t even call out murder when you see one! No wonder Kenyans no longer watch your channel!
Samia atoe #KatibaMpya aache story nyingi na kutupanga anahujumiwa, anahujumiwa vipi na yeye ndiye wa kusema sasa tunaanza mchakato na akaanza
Si ampe @TunduALissu na nguri wengine wa sheria mchakato tuone kama kuna hukuma ? Hizo ni bla bla unaingia mtego mzee baba
David Alexander KILAWILA amefanikiwa kuifikisha BENDERA ya CHAMA pekee kilichobakia na kinachobeba MATUMAINI ya WATANZANIA(CHADEMA) katika mlima KILIMANJARO. David ameingia katika KITABU cha KUMBUKUMBU ya MASHUJAA wa CHAMA chetu. Hongera sana KAMANDA 🙏🙏🙏✌️✌️✌️✌️
Kuwa ndugu yao mzee Samwel alipelekwa kituo cha mateso kijiji cha Muriaza anakotokea Sirro aliyekuwa IGP. Kwa ambao hamjui ni kwamba Sirro alipokuwa IGP alijenga kituo kikubwa kijijini kwao ambacho kilitumika kutesa, kuuwa na kuwapoteza wapinzani wa JPM na raia wengine. 👇
@lifeofmshaba@MariaSTsehai Propaganda ya State Machinery ili siku ya siku ionekane kuna watu wanakwamisha zoezi. Kama kuna dhamira yako mengi ya haraka yasiyohitaji mlolongo mwigi kuyatekeleza ilikuonyesha dhati ya maridhiano.